Kwanini unaishi Dar es salaam?

Taja Jiji duniani ambalo lina population ya zaidi 5 Million ,ambalo halina shida ya
  • watu kujazana na kuhombania usafiri....
  • Foleni ya magari
 
Taja Jiji duniani ambalo lina population ya zaidi 5 Million ,ambalo halina shida ya
  • watu kujazana na kuhombania usafiri....
  • Foleni ya magari
Hong Kong Ina watu milion 7 na yenyewe wamagombania magari ?


New York ina watu milion 8 na wenyewe wanagombania magari ?


Nimekuwekea public transport za Hong Kong na New York


Tembeeni acheni kuishi hapo Buza unaona na kudhani Dunia nzima inaishi hivyo Kwa kurukia daladala kama manyani.
 

Attachments

  • shutterstock_796014226.0.jpg
    199.6 KB · Views: 19
  • stock-photo-vector-illustration-of-hong-kong-public-transport-2269413405.jpg
    362.6 KB · Views: 14
Hapo umeweka aina za usafiri mkuu,,ambazo kwa Dar nazo tunazo...

Dar kuna usafiri wa
  • Mabasi
  • Taxi
  • Bolt/Uber/Farasi
  • Bajaji/Boda/Baiskeli/Guta
  • Reli
  • Boti/Ngalawa/Ferry
  • Ndege/Helicopter
Yani hapo ni hela yako tu,
Na mtu unaweza kuwa public transport masaa 24...
 
Sasa wewe umetaja miwili ,mi nakupa orodha nzima ya miji mikubwa ya over 5 million ujionee.....


source: CBS
Halafu uje useme haujaona hayo majiji yako.
 
We kipato xhako kidogo na unaishi mbagala au chanika utaichukia tu Dar,tafuta hela uhamie kwa wastaarabu uone raha ya jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…