mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Pole sana! Unaamini Mungu anapatikana na kukusikia ukienda kanisani/msikitini pekee?Shetani amenikamata kwenye suala la ngono
Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.Heri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Umejibu vema sana naweza kusema kuliko wote hapo juu. Umejibu swali hivyo kufuata itifaki. Mmoja ameuliza swali badala ya kujibu swali. Kumbe Kiranga ulikulia katika Ukristo na ulikuwa muhudhuriaji mzuri wa kanisani eeh?! Nimefurahi kufahamu, nime add kitu kichwani.Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Walivosema sema tumchangie mchungaji gari, nikasema kwaheri mazeeHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuachaHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Oooh sawa.Mi nadhani nilifika mahali nikachoka tu. Japo bado hua naenda kwa nadra sana
NB: Sijaacha kusali na kumuomba Mungu.
Uzi ufungwe umemalizaKwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Hahahaha! Wajinga ndiyoooo .......?Kusema kweli mchungaji wangu alifumaniwa na MKE wa mtu, kuanzia hapo nikaona kwenda kanisani ni kupoteza muda tu na kuliwa sadaka zangu
Hahahahaha watu mmeanza kutiririka sasa... kwa nini shule zao zinajengwa kwa sadaka na michango ya waumini (wakati mwingine hata kwa kuwalazimisha kuchangia), ila ada ni sawa kwa Wakristo na wasio Wakristo? Sasa kuna faida gani ya kuchangia? Watoto wa waumini wanafaidiakaje japo kwa uchache tu? Ni wenye pesa pekee ndiyo husoma shule hizo. Mfano ni Loyola nk!.Walivosema sema tumchangie mchungaji gari, nikasema kwaheri mazee
Mnawachangia kila siku ila hawatosheki au siyo?[emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya makanisa ya SASA ni gospel for sale ,michango ni minigi mpaka Mungu mwenyewe atakuwa anatushangaa,ibada hazina mvuto SoMo la utoaji limeshika Kasi, ubatizo masharti kibao wachungaji mapadre tunawachangia Kila siku lakini hawatosheki hubuni majina mapya Kila wakati
Sasa wewe unaogopa kutengwa kweli, au kufukuzwa?Michango imezidi sana, michango yenyewe hainufaishi waumini moja kwa moja, mara mchango wa ujenzi, mara kiwanja, mara gari wakati we huna nyumba huna baiskeli huna biashara, hela inatakiwa tu. Usipotoa utatengwa au kupakaziwa una dhambi ufukuzwe
Huwezi kumkuta Muislamu hata akiwa haendi msikitini ,haswali na mfanya maasi akijianika na kujisifia kuwa haendi msikitini ,labda huyo awe ameachana na imani ya mara nyingi huwa ujasiri huo hana kwani nafsi yake itakuwa inamsuta.Tuanze na wewe amadi kwanini huendi msikitini na ulikuwa mvaa kobazi mzuri tu?