Kwanini ulazimishe kuolewa?

Sinai

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
288
Reaction score
47
Jamani, kuna baadhi ya akina dada ving'ang'anizi sijapata kuona! Wewe umechumbiwa, umelipiwa mahari lakini bado unaenda kugegedwa na mabwana wengine. Mchumba wako kajua, na ameamua kukuacha ili uendelee kugegedwa na hao wanaume wako, tena hakudai chochote, kwanini umng'ang'anie? Je umeona anafaa baada ya kukuacha? Kila siku unatuma sms na kupiga simu, mara unakuja ofisini eti unataka usamehewe, shetani sijui alikupitia sijui wenzako walikudanya sijui..........................lol, jamani kama umepigwa chini chapa lapa hata ukilialia haisaidiiii!
 
ingekua hivyo dunia asingeishi mtu humu, dats y tukaumbiwa misamaha, pole weeeeeeeh
 
analia kwa kuwa anajua wale wagegedaji hawatamuoa ng'ooo!!! hivyo ataishia kugegedwa tuu na ataficha wapi uso wake kwa aibu atakayoipata.
 
Kwa situation hiyo kamwe usirudi nyuma mkuu
 
huyo mdada hafai
si aliona wagegedaji ndio wa maana
akaolewe sasa,kaikosa ndoa hivi hiviiiiiii!
 
ingekua hivyo dunia asingeishi mtu humu, dats y tukaumbiwa misamaha, pole weeeeeeeh

mi mwenyewe moja kati ya kosa nisilosamehe ni kuwa cheated na mwanamke niliyejicommit kwake (mke au mchumba) hapo hata ulie vp unajisumbua tu
 
wagegedaji wenyewe sio wakuoa kazi ilikuwa kuharibu dada hakugundua........ikishindikana msamaha akubali matokea aanze maisha upya akijua hili fundisho
 
Ama kweli kosa atende mwanamke akifanya mwanaume linakua sio kosa. Sina maana kua natetea ufirauni la hasha . Mimi nadhani ni vema kuwa mwaminifu hasa kwa mwanaume nae ajiulize je yeye tangu amchumbie huyo mrembo, je yeye ni mwaminifu na kama si mwaminifu basi amsamehe mwenzie si ndio maisha wanayoishi siku hizi vijana . Jiulize je wewe uyatendayo sirini yakiletwa hadharani je utakua jasiri na utaiazama jamii bila haya au unashindwa tu kumsamehe dada kisa tu wewe hujafumaniwa.
Kama na kijana ni mwaminifu basi huyo dada hafai kuolewa nae, asubiri Mungu atampa alie wake.
 
mbona nyie wanawasamehe? Hebu samehe bwana kuteleza si kuanguka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…