Kwanini Ukonga hawaungi mkono juhudi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,672
218,179
Hii ni hatari sana !
Asanteni Ukonga.jpg
Asanteni Ukonga.jpg
Asanteni Ukonga.jpg


Huu ni uzinduzi wa kampeni za Chadema jana jioni , jionee mwenyewe
 
Tatizo ni moja tu ambalo upinzani hawajanote wanafanya kampeni vizuri watu wanapiga kura at the end "mwenye nguvu mpishe ndo inatumika"

I swear to god upinzani mnajisumbua" hamtoshinda kupata ubunge wala udiwani

Hapa namaanisha sio kwamba hamshindi ila hakuna tume huru kwa sasa

Yaani mnajisumbua tu!


Bila tume huru mnajisumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
lengo la chadema ni " kujivua lawama " kama uko bright utakuwa umenielewa unono
 
Kwa hali jinsi ilivyo ni dhahiri CCM imechokwa haswa Dar kiujumla sema tu wazembe kadhaa ndo wanapinga juhudo za maendeleo i.e. Dodoma, Singida,Tabora, Shinyanga, na Mwanza
 
Hahahahahaha tatizo lenu vijana wa chagadema huwa mnajipa matumaini hewa, Kwa kuedit picha au kutumia picha za mwaka 2015 ili mkishindwa mtafute pa kutokea, picha halisi ya jana ni hii hata kwenye you tube inaonyesha Idadi ni ndogo sana ya waliohudhulia mkutano wenu.
Screenshot_2018-08-26-15-39-34.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha tatizo lenu vijana wa chagadema huwa mnajipa matumaini hewa, Kwa kuedit picha au kutumia picha za mwaka 2015 ili mkishindwa mtafute pa kutokea, picha halisi ya jana ni hii hata kwenye you tube inaonyesha Idadi ni ndogo sana ya waliohudhulia mkutano wenu. View attachment 847513

Sent using Jamii Forums mobile app
uongo utakusaidia nini mkuu ? hii yako ni yetu lakini na hizo nilizoweka ni zetu pia za jana , halafu hii uliyoweka wala haionyeshi watu wachache kama unayotaka tuamini
 
Back
Top Bottom