Naomba Miongoze Kwa Hili...
Pale mtu anapomkisi mtu sana sana mpenzi wake yaan wakat wa romance yaan denda basi lazima ufumbe macho ni nn shida?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hivi wengne hawapgi mswaki n balaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah nmecheka saaana mkuuuKabisa Mkuu vimate mate vyao vinaweza kuwa na sumu kali hivyo kusababisha upofu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hivi wengne hawapgi mswaki n balaaa
ππππHuwa anahofia wengine hawajui kukiss na huishia kurusha vimate mate. Hivyo hufumba macho ili kuepusha macho yasirukiwe na vimate mate.π‘π‘