Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

kungurumanga

Senior Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
175
Reaction score
44
Wanajamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama Samora,Majimaji,Jamuhuri havitumiwi na UKAWA badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?
 
Inawezekana ni mbinu fulani na ya kijinga ya Ccm kuwakandamiza ukawa...rejea ishu ya kiwanja cha taifa & jangwani katika pilika za uzinduzi wa kampeni.
 
viwanja vyote ni mali ya CCM hivyo huwa hawataki kuaibishwa uwanja wa nyumbani.
 
Uzuri ni kuwa kampeni ya ukawa sasa ni mtu kwa mtu.Ccm waendelee na matamasha yao ya muziki
 
Uzuri ni kuwa kampeni ya ukawa sasa ni mtu kwa mtu.Ccm waendelee na matamasha yao ya muziki
We kijana ya Gikombaa unatafuta nini kipande hii...mlishamalisana na ile skando ya Euro 30 Million ya Anglo-Leasing Finance? Au Uhuru naye anasema "Its our turn to eat"?
 
wana jamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama samora,majimaji,jamuhuri havitumiwi na ukawa badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?
Hawapewi kibali rejea uzinduzi wa kampeni ilivyo kuwa pata shika kwa eneo la kufanyia mkutano wao
 
Pumbavu na Malofa katika viwanja vyetu vya Kilofa!
 
wana jamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama samora,majimaji,jamuhuri havitumiwi na ukawa badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?

Viwanja vingi vinamilikiwa na CCM.... Hata hivyo viwanja vya wazi vingine ni vikubwa hata kuliko vya mpira
 
The biggest problem ya UKAWA n EL, ndo maana yule fisadi mwingine anapiga kampeni kwa nguvu kuliko EL, na anataman EL ashindwe malizia ngwe akabidhiwe yeye mikoba
 
"UWANJA SIO SHIDA ILIMRADI TU WATU WASIKIE SERA" kanga,kofia,fulana nzuri na magari mazuri ni mbwembwe Tu.
 
Wala sio mali ya CCM.Ni matumizi mabaya tu ya madaraka.Naona jamaa wameona isiwe shida,kwani uwanja mzuri sio sababu ya ushindi.

Hvyo viwanja alivyotaja mtoa mada hapo juu vyote ni Mali ya ccm. Sasa kuna matumizi gani ya madaraka hapo? Mtu chake.
 
Wanajamvi naomba kufahamishwa inakuaje viwanja kama Samora,Majimaji,Jamuhuri havitumiwi na UKAWA badala yake kampeni inafanywa kwenye viwanja vidogo?

Viwanja vya michezo havichukui watu wengi kama viwanja vya wazi, acha kujitoa akili. Ukawa wanajiamini ndio maana wanatumia viwanja vya wazi kwa kuwa umati ule huwezi kuuweka katika viwanja vya michezo watu watakanyagana. CCM hawana ubavu wa kujaza viwanja vya wazi ndio maana wanakimbilia viwanja vya michezo. Hata Jangwani siku ile waliminya jukwaa ili ionekane pamejaa, akaja Rais mtarajiwa (Lowassa) uwanja ukatapika. CCM has no guts to compare with Lowassa anyhow!
 
wana waswas watu hawatatosha. kutapwaya

halafu itaonekana watu hawaendi kumsikiliza
 
Back
Top Bottom