Kwanini Uislamu hauhitaji kiongozi mwanamke?

Huo ni utamaduni wa zama za giza.
Saizi mambo ni shwari.
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

DINI HIYO NI SHIMO LA KUZIMU LA UFUNUO 9.
 
Hongera! Umepata visa ya kuishi Afghanistan, wewe na familia yako.
 
Marekani kuna dini wanaamini inachochea zaid vita nyingi duniani. Ndo sababu hakuna mtu aliyetoka hiyo dini akapewa hata nafasi ya ugombea WA uraisi.
Mwezi uliopita baadhi ya viongozi Germany walikua wanapinga waumini WA hiyo dini wasiongeze nyumba za Ibada wakiamini itachochea kuongezeka kwa uhalifu/ugaidi .

Kwa ufupi ubaguzi kwao juu ya hiyo dini na wanachama wake ni nje nje.

Binafsi naamini uislam ni dini yenye msimamo mkali kuwahi kutokea,
na vitabu vyao vya dini kutoa adhabu kali zenye uzito wa shoka kwa Mambo mepesi ni kawaida,
in the big picture naona haimake sense.
 
Kabila langu halina chifu wa kike wala kiongozi wa kike ndo kwanza watu wanarithi majina ya wanaume zao .

Hata afrika mila zetu hakuna kitu kama hicho ... Kutokana na maumbile kuna sifa common za mwanaume na mwanamke .

Tunafanya kazi na wanawake tunaona imagine anaenda maternity leave ofisi inabaki empty bado kuna kuleta watoto hata pawe na mfanyakaz ila mtoto akizingua lazima arudi.

Kuna mambo kibao ambayo anakuwa na udhuru wa kisheria kutokana na maumbile yake Mfano akiwa period na ndo imam nan ataswalisha.
 
Tuletee dini zako tuzifuate boss!

Huna tofauti na mila na desturi ambazo hadi zinakeketa!

Anyway! Sisi watu Wa dini tunafuata mia pia ila mila bora kabisaa za Ibrahim (as)
Huyo ni aina ya watu walioshindwa kujicontrol wale wazinifu ,walevi so ukimueleza dini anaona kama hatowezi kufuata.

Ubaya ,bado ana akili za kitoto akikua atatulia na ataelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…