Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,390
elewa madaNimeshaelewa unapoelekea na si pengine bali STIEGLERS GORGE. BAVICHA mnaboa sasa
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
napataga tabu sana kuelewa ngoja wajuzi wajeWakikujibu nitag mzee!
Niliwahi kuwauliza watu wa Baraza la Kiswahili hili swali mara MBILI tofauti, sidhani kama waliwahi kunipa jibu la kueleweka.
Na ulipaswa kutopewa jibu....... Huwez uliza swali la kizembe km ilo ukategemea msaada toka kwa baraza.....Wakikujibu nitag mzee!
Niliwahi kuwauliza watu wa Baraza la Kiswahili hili swali mara MBILI tofauti, sidhani kama waliwahi kunipa jibu la kueleweka.
Na ulipaswa kutopewa jibu....... Huwez uliza swali la kizembe km ilo ukategemea msaada toka kwa baraza.....
Labda uani.
we unaejua tujibieNa ulipaswa kutopewa jibu....... Huwez uliza swali la kizembe km ilo ukategemea msaada toka kwa baraza.....
Labda uani.
Hiyo hutokana na mapokezi ktk lugha izungumzwayo na jamii fulani au asili ya eneo husika.Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo
lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
napataga tabu sana kuelewa ngoja wajuzi waje
Holland-uholanziUshawahi kujiuluza kwa nini Netherland inaitwa Uholanzi?
Mimi nadhani haya masuala ya majina huitwa kulingana na Structure, Syntax na Sematic ya lugha husika. Mfano hata majina ya watu utaona yale ya kiebrania au kiingereza yana kiswahili chake. Mfano John=Yohana, James=Yakobo, Jesus=Yesu.Mwingereza ana iita Spain, lkn spain inaitwa Espana
Wachina wanaiita TansaniaTanzania kwa kifaransa huitwa Tanzanie