Kazi ipo kweli, yaani nchi imejaa matatizo chungu mzima tena yenye kumuumiza hasa huyo mnyonge, leo una ona eti hoja ya kiswahili, ina maana sana? Ndio yale mwendazake aliwaaminisha kuwa eti hukumu ya kesi ikiandikwa kiswahili, hata bibi wa kijijini, ataielewa na hata hitaji wakili tena, na hiyo pesa atafanyia mambo mengine?
ingekuwa hivyo nchi zinazozungumza Kingereza, Kifaransa, Kijerumani, zisingekuwa na mawakili basi! Kwani lugha inayotumika kwenye mahakama zao kila mwananchi anaielewa!