Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

LAAM RASHIDI

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
44
Reaction score
66
Nimekaa nikajiuliza hivi kuna sababu gani bendera ya taifa letu la Tanzania kupandishwa asubuhi ya SAA kumi na mbili na kushushwa jioni ya SAA kumi na mbili?
**Hoja hapa inamaanisha ikifika hiyo SAA kumi na mbili nchi ya Tanzania inakuwa haipo?

**Utambulisho wetu muda huo mpaka kesho yake asubuhi unakuwa ni nini?

**Wenzetu nchi kama ya Marekani hawashushi bendera yao siku zote za wiki,mwezi wala mwaka,bendera yao inapepea siku zote 365 usiku na mchana.

**Sioni haja ya kuishusha bendera yetu ya Taifa katika maeneo yote inapokuwapo.
 
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
 
Umemaliza hoja yako kibabe
 
Ritz,
Rais pia ndio Amiri Jeshi Mkuu
 
Sawa sawa Ritz, sasa kwa nini hiyo bendera ya Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama haipandishwi sehemu zote bendera ya Taifa inaposhushwa, kuashiria sasa nchi ipo chini ya himaya yake?🙁🙁

Halafu unapozungumzia majeshi ya ulinzi na usalama ni mpaka polisi au😵

Mbona maeneo ya vituo vya polisi hawapandishi bendera yao? Au wao siyo sehemu ya jeshi la usalama wa nchi??
 
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Kwahiyo raisi mamlaka yake Ni mchana tu?
 
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.

Kwanini ya Rais ishushwe wakati yeye ndio Amri Jeshi Mkuu? Na jeshi haliwezi kufanya kitu chochote bila kupewa amri kutoka kwa Rais. Naomba ufafanuzi hapo
 
Nimekaa nikajiuliza hivi kuna sababu gani bendera ya taifa letu la Tanzania kupandishwa asubuhi ya SAA kumi na mbili na kushushwa jioni ya SAA kumi na mbili?
**Hoja hapa inamaanisha ikifika hiyo SAA kumi na mbili nchi ya Tanzania inakuwa haipo?

**Utambulisho wetu muda huo mpaka kesho yake asubuhi unakuwa ni nini?

**Wenzetu nchi kama ya Marekani hawashushi bendera yao siku zote za wiki,mwezi wala mwaka,bendera yao inapepea siku zote 365 usiku na mchana.

**Sioni haja ya kuishusha bendera yetu ya Taifa katika maeneo yote inapokuwapo.

Moja ya sababu ni giza. Bendera ni ishara na alama ya uwepo wa ofisi na watendaji wa serikali. Shariti ionekane kwa mbali na bila kizuizi chochote. Hivyo basi kanuni za kupandisha bendera zinaeleza wazi kuwa lazima ipandishwe wakati wa mwanga ili iweze kuonekana vizuri.
 
Kuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
Uongo!!!
 
Back
Top Bottom