zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
Ata kwenye muvi ya sarafina Kuna mwamba wa South anashtua,na Ni muvi ya kitambo sanaHivi ile style hakuitoa kwa Fresh prince of Bel air kwelimana ile TV show ilikua ya 90s na Will smith kashtua kijoti sana mule,,,Joti alianza lini yeye,ila jamaa anajua namkubali sana!
