Ramadhan Chasigwe
Member
- Aug 11, 2014
- 88
- 8
kiufundi...!! Nani anahitajika zaidi SIMBA SC kati ya OKWI na MUSOTI..?!
1. Mapato. Usajili wake utaongeza mkwanja katka club, mana sisi tutajazana viwanjani kuangali soka la kitabuni, mtaa wa pili wao watakuja kumzomea tu. Mwisho wa siku mapato yanaongezeka.
2. Kulipa Kisasi. Misimu kama miwili iliyopita, mtaa wa pili walitunyanyasa sana katka usajili [rejea usajili wa twite na yondani]. Sasa huu usajili wa Okwi, ni revenge tosha.
3. Kipaji. Okwi akiwa katika kiwango chake ni kaliba ya wachezaji wenye uwezo wa kubadili au kuamua mechi mda wowote [rejea mechi ya Yanga 0 Simba 5 au Simba 3 Gor Mahia 0]
4. Mshikamano. Baada ya Friends Of Simba kushika Uongozi, timu yetu ilionekana ipo vipande vipande. Ila kutua kwa Okwi kumeleta mshikamano na umoja katka timu yetu.
5. Advantage kwa kina Singano. Uwepo wake utawasaidia sana madogo katika club yetu, ambao maendeleo yao kama yamesimama. Mfano mzuri ni Singano ambaye yupo vile vile tangu alipoingia 1st eleven.