Mbona ukiendaga kupeleka hicho kinyesi chako kilichopo kwenye kichupa daktari akakipima akikwambia una Minyoo tumboni mbona huwa unaamini.Huyu Mkemia mtaalamu anayepima sampuli huingia peke yake maabara na baadae matokeo yake hutolewa yakiwa printend, ni nani huyo mtaalam,ni kabila au dini gani kiasi cha kumwamini kama Malaika wa Mungu?
Hahahahaha..ngoja nione amejibu vipiMbona ukiendaga kupeleka hicho kinyesi chako kilichopo kwenye kichupa daktari akakipima akikwambia una Minyoo tumboni mbona huwa unaamini.
Ulishawahi kufanyiwa vipimo vya malaria?Kwanza najiuliza, Nani aligundua DNA?
Kwangu kila kilichobuniwa na kutengenezwa na binadam ninaamini hakifanyi kazi kwa asilimia mia moja.
Kama unatazama mpira utanielewa nikiitaja VAR iliyotajwa kuja kuondoa utata wa mambo,lakini kumbe nayo tumeshuhudia haipo sahihi.
Hata hii DNA haikupi majibu sahihi kwa asilimia mia moja(100%),inatoa majibu kwa mizania ya uwezekano( Probability).
Wasomi wa Kemia watanisaidia au kunikosoa.
Ni nani huyo mtukufu saaaaana tuliyempa dhamana ya kuisimamia na kuitumia na kutoa majibu sahihi bila shinikizo,hongo au maelekezo??!
Huyu Mkemia mtaalamu anayepima sampuli huingia peke yake maabara na baadae matokeo yake hutolewa yakiwa printend, ni nani huyo mtaalam,ni kabila au dini gani kiasi cha kumwamini kama Malaika wa Mungu?
Hili ni Giza ambalo mwanga wa tochi peke yake hautoshi kuliondoa.View attachment 2943539
Kwanza najiuliza, Nani aligundua DNA?
Kwangu kila kilichobuniwa na kutengenezwa na binadam ninaamini hakifanyi kazi kwa asilimia mia moja.
Kama unatazama mpira utanielewa nikiitaja VAR iliyotajwa kuja kuondoa utata wa mambo, lakini kumbe nayo tumeshuhudia haipo sahihi.
Hata hii DNA haikupi majibu sahihi kwa asilimia mia moja(100%),inatoa majibu kwa mizania ya uwezekano( Probability). Wasomi wa Kemia watanisaidia au kunikosoa.
Ni nani huyo mtukufu saaaaana tuliyempa dhamana ya kuisimamia na kuitumia na kutoa majibu sahihi bila shinikizo,hongo au maelekezo??!
Huyu Mkemia mtaalamu anayepima sampuli huingia peke yake maabara na baadae matokeo yake hutolewa yakiwa printend, ni nani huyo mtaalam,ni kabila au dini gani kiasi cha kumwamini kama Malaika wa Mungu?
Hili ni Giza ambalo mwanga wa tochi peke yake hautoshi kuliondoa.View attachment 2943539
Usijibu maswali magumu kwa viswali mrejeo vya kuokoteza bila kufikiri,kwani majibu yote ya Malaria unayopewa ni sahihi? Hujasikia visa vya watu kuambiwa hawana Malaria hospital hii na akienda hospital nyingine anakutwa na Malaria??Mbona ukiendaga kupeleka hicho kinyesi chako kilichopo kwenye kichupa daktari akakipima akikwambia una Minyoo tumboni mbona huwa unaamini.