GE2025 Kwanini Tume isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika (Disposable ballot boxes)

GE2025 Kwanini Tume isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika (Disposable ballot boxes)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu,

Kwa nini Tume ya Uchaguzi isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika ili kulinda mazingira? Ni wazo la kufikirisha, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka mitano.

Najiuliza ni kwa sababu gani bado tunatumia masanduku ya kura ya plastiki badala ya kutumia masanduku ya karatasi au vifaa vinavyoweza kuoza, ambavyo baada ya uchaguzi vinaweza kuharibika bila kuathiri mazingira.

Kuendelea kutumia plastiki kunachangia uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi?

ballot.png
 
Back
Top Bottom