Kwanini Trump ni muongo hivi??

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,564
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.

At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel anakiri kuwa katika Operesheni yao lengo lilikua ni kumuua Ayatollah na viongozi wa kijeshi lakini kuhusu kumuua ayatollah walifeli kwani hawakujua alipo.

My take: Jee hawa ndo watu wa kuwaaamini??? Mbona trump na magharibi ni waongo sana?
 
Ni techniques za kuwachanganya na kuwavuruga akili msijue nini wanajua in detai na nini hawajui
 
Trump kachanyikiwa ndie aliewashauri Israel waingie hiyo vita baadae alipoona ina madhara makubwa upande wao wakaamua kusitisha sasa sababu ya vita inabidi aokoteze tu mtaani kila kukicha tukijaaliwa kesho ataongea kitu kingine kabisaa maana wale wahuni kitendo cha kupiga maeneo todauti tofauti ndani ya Israel kimewachanganya sana.
 
Pameanza kuchangamka

โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Channel 13:
โ€œThere are many casualties in army bases and strategic facilities due to Iranian missiles that we have not talked about until todayโ€.

@Palestine_Updates
 
Hao ni mabingwa wa propaganda
 
Pameanza kuchangamka

โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Channel 13:
โ€œThere are many casualties in army bases and strategic facilities due to Iranian missiles that we have not talked about until todayโ€.

@Palestine_Updatessiki

Pameanza kuchangamka

โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Channel 13:
โ€œThere are many casualties in army bases and strategic facilities due to Iranian missiles that we have not talked about until todayโ€.

@Palestine_Updates
Watasema tu ukweli
 
Alisema "hatima ya kuipoga Iran itajulikana baada ya wiki MBILI" jioni yake yale madege meusi kama yamevaa nikabu yakafanya mashambulizi, ila angalau tumshukuru kwa kuendelea kumkingia kifua vijana wa Netanyau wasimuue.

 
Mimi
Mimi nilisha zisishtukia Sana media za magharibi, pia Trump na yeye haeleweki eleweki leo kasema hili kesho kasema lile, vurugu tupu!!
 
Na ww ni muongo mkubwa na mchonganishi mfitinishaji mkubwa tuwekee hapa alichokiandika TRUMP na ISRAEL tuhakikishe huu sio mpira
 
naona upepo bado unavuma maana unaweza ukampitia yeyote huu upepo waajabu sasa yetu macho ๐Ÿ˜Ž.https://x.com/Currentreport1/status/1938867127521628359?t=sOVPHTMalnm1iEYH6a9icw&s=19
 
Kusema alisitisha kwa sababu ilikuwa na madhara makubwa kwa upande wao ni uongo kabisa kwani ingekuwa ni hivyo basi Iran isingekubali kusitisha vita na ingetumia hiyo fursa "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia".

Hivyo hizo kama kawaida ni zile porojo tu za kutoka masjid ubwabwa.

Elewa kwamba vita havijaisha ila vimesitishwa tu na punde vikianza tena mlengwa mkuu atakuwa ni huyo Ayatollah mwenyewe na weka macho uone kama hatapelekwa akhera kupokelewa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
 
Ulimuamini lini hadi uhoji ukweli wake?
 
Sasa wewe umejuaje kuwa muongo ni Trump na sio Waziri wa Ulinzi? ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Pameanza kuchangamka

โ—๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Channel 13:
โ€œThere are many casualties in army bases and strategic facilities due to Iranian missiles that we have not talked about until todayโ€.

@Palestine_Updates
Sisi tunachojua ni majeruhi wachache tu,na tumekubaliana na hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ