Afrika tumejaliwa wanyama wengi sana wa asili na mazingira yao mapori na misitu mkubwa lakini kwanini Mpaka sasa tiger hawapatikani Afrika wanatokea ASIA pekee sababu ni nini na hata kama wangekuwa asili yao sio Afrika, Je kwanini hawajaletwa huku mbona sisi tunawapelekea twiga na faru huko kwao.
Sababu ni maswala ya kihistoria ,pia kumbuka Africa kuna big five ,simba ,chui tembo ,kifaru, na nyati , ukimweka tiger ikolojia haitaleta uwiano na kufanya baadhi ya wanyama kutoweka.
Sababu ni maswala ya kihistoria ,pia kumbuka Africa kuna big five ,simba ,chui tembo ,kifaru, na nyati , ukimweka tiger ikolojia haitaleta uwiano na kufanya baadhi ya wanyama kutoweka.
Simba malala(tyger),simba,chui,duma,simba milima,hawa wote ni paka kama paka wa nyumbani yule,tofauti ni maumbo na rangi tu,ila tabia za msingi zote ni sawa.
Mbona wakwetu wanaishi huko , mi nazan ni wazo tuu la sekta ya utalii hawakuwa nalo , mnyama huyo anawez ku adaptishwa tuu kwenye mapori ya nyanda za juu