Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,826
- 21,057
Tasania ya fiwanda haiamini katika fiwanda boss, Tasania inaamini kuchukua msigo na kuuza basii.Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.
Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.
Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Welcome to Tiper TanzaniaHivi tipper ilikuwa ikifanya nini ? Na Nani aliamua kiache kufanya hiyo shughuli
Hakuna hata mmoja hapo mwenye uwezo wala nia ya kusimamia wazo kama hilo🤔Tulishafeli kote huko.
Watanzania tuna hulka ya wizi ni kuiba tu Wachina sio wajinga kupiga risasi wamefika mbali.Hakuna hata mmoja hapo mwenye uwezo wala nia ya kusimamia wazo kama hilo🤔
Ukiwaambia hivyo watakwambia haiwezekani.Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.
Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.
Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Kuendesha vizuri hii nchi ni rahisi sana,hatuna tu viongozi wenye akili,gas nasikia tunayo nyingi sanaWazee enzi za Mwalimu waliona umuhimu huo,ila baada ya hapo wakakata roho ya refeinery na kuuziana kuhakikisha inakata roho na haipatikani tena, tena,ila mbona hujauliza wameshindwa je kutengeneza vituo vya gesi asilia/CNG hadi sasa TZ vipo vituo viwili tu, 🤔.Ilhali tunavuna gesi hiyo nyumbani kwetu hapo uchingani/Ntwara kwa wala samaki nchanga.🤔Badala ya kuifaidi sisi wanaofaidi Wakenya, wachina na wengine 🤔
Mkapa,mzee wa uwazi na ukweli,kuwadi wa soko huriaIle pale kigamboni nani aliiuwa.?
Siku zote huwa nakwambia ukimaliza yale mambo utulie kwanza...Hao ni wajinga wajinga fulani, labda sasa mama atawabadilisha. Dar tulikuwa na refinery ndogo,pale Kigamboni (TIPER) ikafa hivi hivi tunaiona, ilikuwa inatutosha mafuta yetu na ya Zambia.
Licha ya hiyo, wakati wa Kikwete mkataba ukawa tayari wa kujenga bonge la refinery la kisasa Kisiju, la kuchakata mafuta na kuchakata Gas, hilo lilikuwa liwe ni mji wa kipekee kwa ajili ya mafuta na Gas. Akaja yule fala kutoka kanda ya ziwa akauzima u;le mradi. Jinga sana lile. Jionee:
kujenga $ 6 Bil. Usafishaji wa Mafuta Dar
Muungano wa mataifa manne hivi karibuni utaanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha hali ya juu jijini Dar es Salaam na bomba la mafuta kutoka mjini hadi Mwanza na Kigoma. Mradi huo utakuwa uwekezaji mkubwa zaidi na kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Kwa mujibu wa Rais wa Kampuni ya Noor Oil and Industrial Technology Consortim (NOITC), Bi Minoo Davar, muungano huo unaohusisha kampuni za Tanzania, Urusi, Qatar na Ujerumani, umefanikiwa kupata ufadhili wa awali wa dola bilioni sita za Marekani kwa ajili ya mradi huo.
Alisema katika mazingira ya sasa ya kiuchumi kupata ufadhili mkubwa wa mradi wa takriban dola bilioni 6 za Marekani "ni wazi ni changamoto kubwa sana".
Kiwanda hicho cha kusafisha mafuta kitakuwa na uwezo wa kuzalisha mapipa 200,000 kwa siku, jambo ambalo Bi Davar alisema litasababisha kushuka kwa bei ya mafuta nchini humo. Itatumia mafuta ghafi kutoka Saudi Arabia, Iraq, Iran na nchi nyingine za Mashariki ya Kati. Vyanzo vya mafuta ghafi vitategemea ukaribu.
Davar aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa muungano huo umepata ardhi katika eneo la Kisiju wilayani Mkuranga kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ambapo watu 5,000 wanatarajiwa kuajiriwa katika kipindi cha ujenzi huku nafasi 2,000 za ajira zikipatikana baada ya kukamilika kwake.
Washauri wamekamilisha ugawaji wa ardhi iliyotengwa huko Kisiju ambapo tathmini ya athari za mazingira inaendelea kwa sasa.
"Pia tunaendelea na awamu ya pili na ya mwisho ya upatikanaji wa ardhi," alisema.
Ugavi wa hisa za mafuta ghafi kwa ajili ya kusafisha na mikataba mingine muhimu na kubuni, uhandisi, teknolojia, wauzaji wa mimea na vifaa kwa ajili ya kusafisha na bomba zimelindwa na viongozi wa kimataifa wa viwanda vya mafuta na gesi, alisema.
Serikali ina asilimia 10 ya hisa katika kiwanda cha kusafisha mafuta na asilimia 5 ya hisa katika bomba la mafuta. Mara baada ya kufanya kazi, kampuni hiyo itapatikana na msamaha wa ushuru wa miaka 15.
Majadiliano yanaendelea na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania juu ya njia za ujenzi wa bomba la mafuta kutoka kwa kiwanda cha kusafisha hadi mikoa miwili ya kaskazini magharibi mwa Ziwa.
"Tumefanikiwa sana katika kukabiliana na hali mbaya ya uchumi wa dunia na kupata ahadi za ufadhili kwa miradi ya kusafisha na bomba ambayo italeta faida kubwa za kiuchumi na miundombinu kwa muda mrefu kwa Tanzania na majirani zake," alisema Davar.
Chanzo: https://www.skyscrapercity.com/threads/tanzania-to-build-a-6-bil-oil-refinery-in-dar.1129719/
https://www.skyscrapercity.com/thre...il-oil-refinery-in-dar.1129719/post-179619741
Tanzania adui yetu mkuu ni ujinga anaefatia ni roho mbaya.
Labda Magufuli afufukeNini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.
Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.
Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Tungetegemea mradi kama huo kwa mtu kama magufuli sio huyu muuza nchi yetu. Tungekua na refinery tungeweza kuagiza crude kwa bei ya chini kutoka urusi wakati huu na kujitosheleza na kuwauzia majirani. Tulizugwa tukafunga kiwanda chetu kisha kugeuzwa wateja tu.Nini kinatuzuia kujenga refinery ya mafuta? Kwa haraka haraka nimesearch. Kujenga refinery ya mapipa laki moja kwa siku ni dola 1.5 bilioni. Tanzania tunatumia mapipa 70,000 elfu kwa siku. Gharama ya kununua, kusafirisha na kurefine lita moja ya mafuta ni kama Tsh 1900. Na hayo ni mafuta ya kiwango cha juu kabisa.
Tunaweza kujenga hata kubwa na kuwauzia mafuta majirani zetu wengi wasio na bandari. Tanzania ni moja ya nchi chache sana zilizokaa sehemu ambayo zinaweza kujiendesha kwa biasahara ya mafuta licha ya kutoyachimba. Pia humo tutapata na lami na malighafi za kutengenezea plastiki.
Kwa nini hatujengi refinery ya mafuta? mbona "TPDC" za wenzetu ni mashirika makubwa sana yanayotegemewa na nchi zao, tunakwama wapi?
Magufuli alikua kajifungia ndani ya box yani yeye kwake mzungu au mwarabu ni mtu hatari sana unadhani hiyo refinery tungeijenga vipi? Bora Mungu kamchukuwa apumzike salama huko alipo.Labda Magufuli afufuke
Hii ni laana ya uvamizi kwa Zanzibar , Karma inaendelea kuwatesa. Zanzibar walitaka kujenga Refinery wakati wa Nyerere , akakataa kata kata eti refinery ipo Dar matokeo yake Mungu ametulipia sasa mumekuwa kama sisi huku Zanzibar . Sote hatuna kituWazee enzi za Mwalimu waliona umuhimu huo,ila baada ya hapo wakakata roho ya refeinery na kuuziana kuhakikisha inakata roho na haipatikani tena, tena,ila mbona hujauliza wameshindwa je kutengeneza vituo vya gesi asilia/CNG hadi sasa TZ vipo vituo viwili tu, 🤔.
Ilhali tunavuna gesi hiyo nyumbani kwetu hapo uchingani/Ntwara kwa wala samaki nchanga.🤔Badala ya kuifaidi sisi wanaofaidi Wakenya, wachina na wengine 🤔