Well said, na ukiangalia Nchi zote wanachama wa EAC yenye neema ya Rasilimali asilia nyingi ni Tanzania wote wanangalia namna ya kutupiga tu, ukizingatia bado Hatuna Sheria na taratibu madhubuti ya kulinda rasilimali zetu ni bora tusiwe vimbele mbele, turekebishe na kuimarisha kwanza mifumo ya ndani. Muungano sio wakutegemea sana na kujiachia kijinga siku ukivunjika unaweza jikuta unaingiza taifa shimoni
Acha bhla-bhla! na kuuliza mambo ambayo mwenyewe ungeweza kuyajibu. JF ni sehemu ya wenye reasoning na kama hujui, uliza tukusaidie kufikiri. EAC had never been effective institution tangu iundwe upya. Hakuna inegration, kuna competion, ndo maana unaona Kenya inatishiana na Uganda kwa ajili ya kakisiwa ka wavuvi, Burundi inatishiana na Rwanda, wachache wanaunda CoW, Tanzania na Kenya wanashindania Bomba la mafuta, nk. Jiulize kwa nini ni rahisi CRDB kuwa na tawi KIgali, lakini ni tatizo kuwa na tawi Nairobi. Wakati huo huo KCB ina matawi TZ. kwa nini unataka Tz iwe serious na jumuiya ya aina hiyo? Au TZ tufanye unafiki?Nimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru bidhaa za nchi hizo; ingawaje yote mawili hayo yalizungumzwa na kuafikiwa kwa ndiyo na hapana.
Kwa kweli uhuru wa movement (kugura) kwa raia wa nchi za EAC ndiyo msingi mkubwa wa Jumuiya hii kufikia muungano kamili.
Nini hasa kinachoendelea kwa nchi hii ambayo mwanzishi wake alisifika kupigania Umoja wa Afrika, na alidiriki kutaka kuchelewesha uhuru wa Tanzania ili mradi nchi zote tatu ziungane?
Watawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania. La hasha! Ukweli ni kuwa wanasiasa wetu wanaogopa kwamba endapo Jumuiya hii itasimama kama inavyopendekezwa, basi wataumbuka.
Kwa maana ule uwongo wanaowalisha Watanzania kila siku kwamba sisi tuko "huru sana" na tuna "amani na demokrasia sana", "hatuna ukabila" "tumeendelea kuliko..." nk utaonekana wazi ni mangati (mirage). Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
Acha bhla-bhla! na kuuliza mambo ambayo mwenyewe ungeweza kuyajibu. JF ni sehemu ya wenye reasoning na kama hujui, uliza tukusaidie kufikiri. EAC had never been effective institution tangu iundwe upya. Hakuna inegration, kuna competion, ndo maana unaona Kenya inatishiana na Uganda kwa ajili ya kakisiwa ka wavuvi, Burundi inatishiana na Rwanda, wachache wanaunda CoW, Tanzania na Kenya wanashindania Bomba la mafuta, nk. Jiulize kwa nini ni rahisi CRDB kuwa na tawi KIgali, lakini ni tatizo kuwa na tawi Nairobi. Wakati huo huo KCB ina matawi TZ. kwa nini unataka Tz iwe serious na jumuiya ya aina hiyo? Au TZ tufanye unafiki?
Ni wapi ktk karne hii kuna regional integration yenye kwenda sawa? Rudi Africa uitafute integration ya aina hiyo kama ipo. Kama hakuna, kwa nini upoteze muda.
Who wants political federation?Nimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru bidhaa za nchi hizo; ingawaje yote mawili hayo yalizungumzwa na kuafikiwa kwa ndiyo na hapana.
Kwa kweli uhuru wa movement (kugura) kwa raia wa nchi za EAC ndiyo msingi mkubwa wa Jumuiya hii kufikia muungano kamili.
Nini hasa kinachoendelea kwa nchi hii ambayo mwanzishi wake alisifika kupigania Umoja wa Afrika, na alidiriki kutaka kuchelewesha uhuru wa Tanzania ili mradi nchi zote tatu ziungane?
Watawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania. La hasha! Ukweli ni kuwa wanasiasa wetu wanaogopa kwamba endapo Jumuiya hii itasimama kama inavyopendekezwa, basi wataumbuka.
Kwa maana ule uwongo wanaowalisha Watanzania kila siku kwamba sisi tuko "huru sana" na tuna "amani na demokrasia sana", "hatuna ukabila" "tumeendelea kuliko..." nk utaonekana wazi ni mangati (mirage). Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
unaweza kupata fursa Kenya wewe!?..au umeamua kuharisha tu hapa..huwezi kushirikiana na watu wenye haiba ya uhayawaniTatizo watanzania hatujui kutumia fulsa, na hiyo ni weakness yetu kubwa. Let us learn to think like Kenyans, that there is an opportunity in every situation. Kama tunajua wao wanatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji, kwa nini tusitumie hiyo advantage ku-demand maslahi zaidi kwenye EAC?
KabisaMAZWAZWA Mkuu ukiandika hivi watakwambia hamia Kenya!
Short and clear hamia Kenya!"EAC had never been (an) effective institution since...." Kwa nini? Nadhani moja ya sababu ni Tanzania.
Hayo matatizo uliyoyataja si sababu kabisa ya kutokuwa na EAC ya muungano. Umesikia sehemu iitwayo Gibraltar? Hadi leo Uingereza ina mgogoro mkubwa na Spain juu ya eneo hili, kiasi cha kutaka kupigana. Uingereza na Spain zote ni EU. Ninachotaka kusema ni kuwa, Muungano utasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua haya kuliko kutokuwa nao. Kama huamini, ngoja muungano na Zanzibar ufe, uone aina gani ya migogoro itakayozuka!
Kuhusu CRDB kukubaliwa Kigali na si Kenya.... kwanza ungeelezea sababu. Inawezekana ni sababu za kiidara zaidi na siyo kiushindani. Kama Kenya ina sheria kuwa yeyote anayetaka kufungua benki lazima awe na capital ya dola 200 m kwa mfano, na CRDB ikashindwa, huwezi kulaumu ushindani hapo. Lete hoja za kimantiki na siyo kuchukua mfano mmoja ambao yaelekea hata wewe hujui sababu yake, na kufanya ni moja ya sababu kwa nini Tanzania ikwamishe EAC.
Hamia KenyaHoja ya asiye na hoja!
Boss, tuliambiwa TZ tumekwamisha na wao wanaanzisha kiitwacho CoW. Wako wapi? Ikaanzishwa visa ya pamoja kwa manufaa ya utalii wa wahusika, manufaa yako wapi?"EAC had never been (an) effective institution since...." Kwa nini? Nadhani moja ya sababu ni Tanzania.
Hayo matatizo uliyoyataja si sababu kabisa ya kutokuwa na EAC ya muungano. Umesikia sehemu iitwayo Gibraltar? Hadi leo Uingereza ina mgogoro mkubwa na Spain juu ya eneo hili, kiasi cha kutaka kupigana. Uingereza na Spain zote ni EU. Ninachotaka kusema ni kuwa, Muungano utasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua haya kuliko kutokuwa nao. Kama huamini, ngoja muungano na Zanzibar ufe, uone aina gani ya migogoro itakayozuka!
Kuhusu CRDB kukubaliwa Kigali na si Kenya.... kwanza ungeelezea sababu. Inawezekana ni sababu za kiidara zaidi na siyo kiushindani. Kama Kenya ina sheria kuwa yeyote anayetaka kufungua benki lazima awe na capital ya dola 200 m kwa mfano, na CRDB ikashindwa, huwezi kulaumu ushindani hapo. Lete hoja za kimantiki na siyo kuchukua mfano mmoja ambao yaelekea hata wewe hujui sababu yake, na kufanya ni moja ya sababu kwa nini Tanzania ikwamishe EAC.
FYI, kuna watanzania wengi tu wanaofanya biashara na shuguli nyingine Kenya.unaweza kupata fursa Kenya wewe!?..au umeamua kuharisha tu hapa..huwezi kushirikiana na watu wenye haiba ya uhayawani
FYI, kuna watanzania wengi tu wanaofanya biashara na shuguli nyingine Kenya.
PS, hukunielewa, nilichosema ni kwamba kama nchi nyingine wanatuhitaji zaidi, Kwa nini tusitumie kuhitajika kwetu katika kuweka masharti ambayo yatatunufaisha kwenye huo umoja? Au hata Hilo hatuwezi?
wanatuhitaji ili wafaidike..ndomana wanalilia ardhi iwe bwerere kwa kila MTU,huwezi kupata kazi Kenya lakini huku wanapata,sakata LA kampuni ya azam,wakiwa na shibe wanadai nafaka zetu zina sumu wakiwa na njaa wanazihitaji..hao sio watuFYI, kuna watanzania wengi tu wanaofanya biashara na shuguli nyingine Kenya.
PS, hukunielewa, nilichosema ni kwamba kama nchi nyingine wanatuhitaji zaidi, Kwa nini tusitumie kuhitajika kwetu katika kuweka masharti ambayo yatatunufaisha kwenye huo umoja? Au hata Hilo hatuwezi?
hakuna mtz anaekubali mchina auze karanga tzYou are very backward minded. Kwa nini kuishi ugenini liwe tatizo. Ujinga wa mtu mweusi, atakubali Mchina aishi TZ kuliko Mkenya!
Kenya kuna nini cha kuchukua!?You hit it! Nachukia watu wanaolalamika juu ya Kenya kutufanya punda wa kupanda. Kwa nini nasi hatutumii mbinu za kuwafanya wao pia? Au hatuna akili?
Kenya ni taifa na kama mataifa yote duniani yanajali maslahi yao. Ujinga ni wetu tusiojua namna ya kupata maslahi yenu katika misingi ya mashindano. Tusiwaze hata siku moja kama Kenya itakua vinginevyo. Hivi hivi ndivyo inavyoamiliana na Sudan, Rwanda, Uganda etc. katika kuendeleza maslahi yao. Hakuna uadui kwa sababu tu ni Tanzania!
Acheni ujinga na wivu wa.....
Kenya kuna Watanzania kwa maelfu wanaofanya shughuli zao za biashara kama kawaida. Suluhisho siyo kujichimbia ndani ya shimo, hilo ni suluhisho la wavivu wa kufikiria.
Kenya kuna nini cha kuchukua!?