Kenya ni habari nyingine.
Nchi hii wajinga hawaishi.EA ya mwanzo ilipovunjika ,Tz iliathirika zaidi kutokana na ukubwa wake na haijawahi ku-recover ndio maana ilishindwa hata kuwalipa fidia wale wazee wa watu mpaka miaka ya juzi walipowalaghai kwa kiwango cha enzi zile kwa thamani ya leo(sic).Uking'atwa na nyoka hata ukiona ujani unashtuka .Pili unadhani nani anamuhitaji mwenzie zaidi jamaa wanaotuzunguka au sisi.
Tatizo watanzania hatujui kutumia fulsa, na hiyo ni weakness yetu kubwa. Let us learn to think like Kenyans, that there is an opportunity in every situation. Kama tunajua wao wanatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji, kwa nini tusitumie hiyo advantage ku-demand maslahi zaidi kwenye EAC?Nchi hii wajinga hawaishi.EA ya mwanzo ilipovunjika ,Tz iliathirika zaidi kutokana na ukubwa wake na haijawahi ku-recover ndio maana ilishindwa hata kuwalipa fidia wale wazee wa watu mpaka miaka ya juzi walipowalaghai kwa kiwango cha enzi zile kwa thamani ya leo(sic).Uking'atwa na nyoka hata ukiona ujani unashtuka .Pili unadhani nani anamuhitaji mwenzie zaidi jamaa wanaotuzunguka au sisi.
baada ya chanzo hufuata kitendo......
jumuia ya africa mashariki iliuwawa na aliye iuwa anajulikana labda tuanzie huko.......
malengo na muundo wa SADCC na EAC ni tofauti.
EAC sio jumuia ya kwanza kuanzishwa wala si ya mwisho na kuna jumuia kubwa km EU waingereza wamejitoa je kisa wakiwemo 'watatishwa tishwa"?
kagame,nkurunziza,magufuli,kenyatta,museveni wote wana kasoro na mazuri yao,ndo maana wananchi waliamua kuwapa uongozi.
kuna miungano mingi km senegambia ,USSR nk ambayo imeshakufa labda tujifunze,pia hata wa tanganyika na znz una kasoro zake ila kwa hili tanzania tumejaribu na tunajua faida za muungano kuliko wote kwenye EAC.
km nchi tuna haki na wajibu wa kuamua tuyatakayo kwa gharama yeyote,
huwezi ukakataa unga wangu kwa kigezo kulinda viwanda vya wananchi wako,ila unanafasi ya mahindi je lengo lako ni lipi?unanipenda kwa dhati wote tufikie uchumi wa kuchakata mazao au nibakie mzalishaji wa malighafi?
hata km tutakuwa na jumuia uhuru wa maamuzi ya ndani utabaki wa mwanachama husika.
kwa kuwa walowezi na washirika wao wengi wako kwako unataka nisichukue kodi wakiingiza bidhaa kwangu lengo lako ni lipi? ulipo amua kukubali EPA uliamua km nchi na mm ninapokataa naamua km nchi.
mwisho ndoa ni hiyari sio lazima,pia ndoa ina kuvumiliana na ina mipaka yake.
Unazijua sababu kwa nini tunakwamisha EAC? Si hizo ulizozitaja.
Political will: Ni dhahiri kwamba ni Tanzania ndiyo haina
Level of Development: Kwa kweli Muungano utasaidia development ya Tanzania. Kwanza utaepusha ku duplicate viwanda ambavyo tayari vipo kwingine na hivyo kutoa nafasi ya viwanda vipya na vya kisasa. Hapa tulipo bado tunafikiria viwanda vya kukoboa mpunga na kuondoa magamba ya samaki!
Ideology: Unajua ideology ya Tanzania hivi sasa wewe? Hatuna ideology yeyote, tunafuata upepo. Si Ujamaa si Ubepari nadhani ni "Utemi" zaidi!
Currency: Moja ya mapendekezo ni political union ambayo itapelekea kwenye currency union. Hii nayo mbaya? Kama unajoua economy?
Swala ni unapata nini? Opportunic cost ! Kitakachopatikana is not worth the cost ni kama Britain kwenye EU unadhani hawajaziona fursa???Tatizo watanzania hatujui kutumia fulsa, na hiyo ni weakness yetu kubwa. Let us learn to think like Kenyans, that there is an opportunity in every situation. Kama tunajua wao wanatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji, kwa nini tusitumie hiyo advantage ku-demand maslahi zaidi kwenye EAC?
Well said, na ukiangalia Nchi zote wanachama wa EAC yenye neema ya Rasilimali asilia nyingi ni Tanzania wote wanangalia namna ya kutupiga tu, ukizingatia bado Hatuna Sheria na taratibu madhubuti ya kulinda rasilimali zetu ni bora tusiwe vimbele mbele, turekebishe na kuimarisha kwanza mifumo ya ndani. Muungano sio wakutegemea sana na kujiachia kijinga siku ukivunjika unaweza jikuta unaingiza taifa shimoniMleta mada umeangalia upande mmoja tu wa kisiasa je upande mwingine wa kiunchumi mbona hujagysia???lazima ulete faida waliyonao wananchi wa hzo nchi ambazo hazija leta vikwazo kwenye jumia ni zipi wanazo???manake ukiangalia kiujumla nchi zote ni kama zinatuhitaji sisi zaidi kuliko tunavyowahitajia
Jamani, jumuiya au muungano siyo lazima EU imetuonesha. Nashauri Tanzania itafakari hiyo EAC kama hakuna maslahi kwa wananchi ijitoeEAC au Bara na Visiwani?
Jamani, jumuiya au muungano siyo lazima EU imetuonesha. Nashauri Tanzania itafakari hiyo EAC kama hakuna maslahi kwa wananchi ijitoe