Hata mimi... Chuoni nilikuwaga nakwepa kujibu maswali yanayohusu EAC kwenye options na kama hakukuwa na options basi nilikuwaga napata buyu kwenye maswali hayo.Mimi binafsi sitaki kusikia kuhusu EAC
Umeelezea vizuri sana.Hii nchi tuna asili ya unafiki,wivu,husuda na chuki bila ya sababu za msingi,nilimsikia JPM alivyochaguliwa kuwa mwenyekiti EAC hutuba yake ya kwanza na matendo yake ni mbingu na ardhi.
Wakati tunafundishwa Kuhusu hizi regional economic integration kuna vitu kamaNimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru bidhaa za nchi hizo; ingawaje yote mawili hayo yalizungumzwa na kuafikiwa kwa ndiyo na hapana.
Kwa kweli uhuru wa movement (kugura) kwa raia wa nchi za EAC ndiyo msingi mkubwa wa Jumuiya hii kufikia muungano kamili.
Nini hasa kinachoendelea kwa nchi hii ambayo mwanzishi wake alisifika kupigania Umoja wa Afrika, na alidiriki kutaka kuchelewesha uhuru wa Tanzania ili mradi nchi zote tatu ziungane?
Watawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania. La hasha! Ukweli ni kuwa wanasiasa wetu wanaogopa kwamba endapo Jumuiya hii itasimama kama inavyopendekezwa, basi wataumbuka.
Kwa maana ule uwongo wanaowalisha Watanzania kila siku kwamba sisi tuko "huru sana" na tuna "amani na demokrasia sana", "hatuna ukabila" "tumeendelea kuliko..." nk utaonekana wazi ni mangati (mirage). Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
Hadisi ndeeeefu, wanaokuelewa ni wale wanaokuelewa tuNimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru bidhaa za nchi hizo; ingawaje yote mawili hayo yalizungumzwa na kuafikiwa kwa ndiyo na hapana.
Kwa kweli uhuru wa movement (kugura) kwa raia wa nchi za EAC ndiyo msingi mkubwa wa Jumuiya hii kufikia muungano kamili.
Nini hasa kinachoendelea kwa nchi hii ambayo mwanzishi wake alisifika kupigania Umoja wa Afrika, na alidiriki kutaka kuchelewesha uhuru wa Tanzania ili mradi nchi zote tatu ziungane?
Watawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania. La hasha! Ukweli ni kuwa wanasiasa wetu wanaogopa kwamba endapo Jumuiya hii itasimama kama inavyopendekezwa, basi wataumbuka.
Kwa maana ule uwongo wanaowalisha Watanzania kila siku kwamba sisi tuko "huru sana" na tuna "amani na demokrasia sana", "hatuna ukabila" "tumeendelea kuliko..." nk utaonekana wazi ni mangati (mirage). Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
EAC au Bara na Visiwani?Mi ctaki muungano kabisa
Wakati tunafundishwa Kuhusu hizi regional economic integration kuna vitu kama
Political will
Level of development
Ideology
Currency [emoji766]
Na mambo mengine kadha wa kadha so ili EAC iwepo na kila nchi ipate ku'benefit lazma ivo vitu hapo juu waviangalie. Unaweza kuta wana delay kwasababu there is no mutual benefits
Tuzungumzie upande wa level of development, Tanzania kwa upande wa viwanda bado sana ivyo basi tukijoin EAC lazma tuwe consumers sidhan kama tutakuwa na bidhaa za ku'export. Sasa na ww nakuulza kipi bora kujoin then Tz ikawa damping place au tukae ivi tu endelea ku'consume bidhaa za kwetu japo ziko local????Unazijua sababu kwa nini tunakwamisha EAC? Si hizo ulizozitaja.
Political will: Ni dhahiri kwamba ni Tanzania ndiyo haina
Level of Development: Kwa kweli Muungano utasaidia development ya Tanzania. Kwanza utaepusha ku duplicate viwanda ambavyo tayari vipo kwingine na hivyo kutoa nafasi ya viwanda vipya na vya kisasa. Hapa tulipo bado tunafikiria viwanda vya kukoboa mpunga na kuondoa magamba ya samaki!
Ideology: Unajua ideology ya Tanzania hivi sasa wewe? Hatuna ideology yeyote, tunafuata upepo. Si Ujamaa si Ubepari nadhani ni "Utemi" zaidi!
Currency: Moja ya mapendekezo ni political union ambayo itapelekea kwenye currency union. Hii nayo mbaya? Kama unajoua economy?
Mheshimiwa wanaokataa EAC wanakitu cha siri au wengine wanabaruzwa na mfumo wa siasa bila fikra fullstopUnazijua sababu kwa nini tunakwamisha EAC? Si hizo ulizozitaja.
Political will: Ni dhahiri kwamba ni Tanzania ndiyo haina
Level of Development: Kwa kweli Muungano utasaidia development ya Tanzania. Kwanza utaepusha ku duplicate viwanda ambavyo tayari vipo kwingine na hivyo kutoa nafasi ya viwanda vipya na vya kisasa. Hapa tulipo bado tunafikiria viwanda vya kukoboa mpunga na kuondoa magamba ya samaki!
Ideology: Unajua ideology ya Tanzania hivi sasa wewe? Hatuna ideology yeyote, tunafuata upepo. Si Ujamaa si Ubepari nadhani ni "Utemi" zaidi!
Currency: Moja ya mapendekezo ni political union ambayo itapelekea kwenye currency union. Hii nayo mbaya? Kama unajoua economy?
Tuzungumzie upande wa level of development, Tanzania kwa upande wa viwanda bado sana ivyo basi tukijoin EAC lazma tuwe consumers sidhan kama tutakuwa na bidhaa za ku'export. Sasa na ww nakuulza kipi bora kujoin then Tz ikawa damping place au tukae ivi tu endelea ku'consume bidhaa za kwetu japo ziko local????
Ukitoa sababu itapendeza zaidi.Mimi binafsi sitaki kusikia kuhusu EAC