Kwanini Tanzania haina mentality ya kuexploit Mataifa jirani?

NYAMY

Member
Joined
Feb 16, 2016
Posts
14
Reaction score
32
Habari za Asubuhi wana jamvi,
Nimefikili sana juu ya Taifa langu Tanzania,
Ukujaribu kuangalia mataifa kama Rwanda na Kenya yanatumia mbinu za kila aina kuhakikisha kwamba yanakuwa na uwezo wa kwenda kuexpoloit mataifa jirani kwa manufaa ya wananchi wake.

Mfano mzuri ni Rwanda,Kagame yupo tayari kufanya chochote ilimradi aweze kuibia taifa jirani (Congo)kwa manufaa ya wanyarwanda na huyu mtu naona kama ana mpango wa kutuibia hata sisi kwa manufaa ya haohao wananyarwanda.

Sasa wanyarwanda wametapakaa kila kona ya Tanzania,na watanzania tunavyopenda wanawake wa kinyarwanda tutawaoa watazaliana hapa nchini na baadae taifa hili linaweza kubadilika kuwa la wanyarwanda,take it from me,Kagame anaangalia mbali saana kwa manufaa ya watu wake.

Kwa habari za chinichini ni kwamba Kagame anao mpango wa kuitawala East Afrika kwa kutumia mbinu hiyohiyo ya kuzaliana,Ukiangalia Uganda inatawaliwa na Myarwanda Mseveni,Ukiangalia Congo Inatawaliwa na Mnyarwanda Kabila,sasa ajenda yake kubwa ni kuitawala Tanzania.

Tanzania sasa tunapaswa kufungua macho tuwe na maono ya mbali,ikiwezekana tuwe na uwezo wa kwenda kuiba mataifa Jirani kwa manufaa ya Watanzania.

Lakini Pia Tunapaswa kuwa makini sana na huyu Kagame.

Nakupenda Tanzania.
 
Mfano mzuri ni Rwanda,Kagame yupo tayari kufanya chochote ilimradi aweze kuibia taifa jirani (Congo)kwa manufaa ya wanyarwanda.na huyu mtu naona kama ana mpango wa kutuibia hata sisi kwa manufaa ya haohao wananyarwanda.Sasa wanyarwanda wametapakaa kila kona ya Tanzania,na watanzania tunavyopenda wanawake wa kinyarwanda tutawaoa watazaliana hapa nchini na baadae taifa hili linaweza kubadilika kuwa la wanyarwanda,take it from me,Kagame anaangalia mbali saana kwa manufaa ya watu wake.kwa habari za chinichini ni kwamba Kagame anao mpango wa kuitawala East Afrika kwa kutumia mbinu hiyohiyo ya kuzaliana,Ukiangalia Uganda inatawaliwa na Myarwanda Mseveni,Ukiangalia Congo Inatawaliwa na Mnyarwanda Kabila,sasa ajenda yake kubwa ni kuitawala Tanzania.
Tanzania sasa tunapaswa kufungua macho tuwe na maono ya mbali,ikiwezekana tuwe na uwezo wa kwenda kuiba mataifa Jirani kwa manufaa ya Watanzania.
Lakini Pia Tunapaswa kuwa makini sana na huyu Kagame.
Nakupenda Tanzania.
This is a donor country, tuhangaike na nini!
 
Sisi ni wajamaa.
Sisi sio mafisadi ingawa wanaotutawala wanatupiga kweli (escow, melemeta, vipipa vya kidhungu na minada ya nyumba) mghwai's voice
Kwanini tuwanyonye wakati kila kitu tunacho?
 
Unaona mbali Mimi niliahatoa Uzi wa mji wa bukoba kuvamiwa na hao watu hata mkoa wa kagera kwa ujumla watu wakaanza kutoa hoja za ajabu ila tusipoangalia mkoa huo utachukuliwa miaka ya baadae
 
Habari za Asubuhi wana jamvi,
Nimefikili sana juu ya Taifa langu Tanzania,
Ukujaribu kuangalia mataifa kama Rwanda na Kenya yanatumia mbinu za kila aina kuhakikisha kwamba yanakuwa na uwezo wa kwenda kuexpoloit mataifa jirani kwa manufaa ya wananchi wake.

Mfano mzuri ni Rwanda,Kagame yupo tayari kufanya chochote ilimradi aweze kuibia taifa jirani (Congo)kwa manufaa ya wanyarwanda na huyu mtu naona kama ana mpango wa kutuibia hata sisi kwa manufaa ya haohao wananyarwanda.

Sasa wanyarwanda wametapakaa kila kona ya Tanzania,na watanzania tunavyopenda wanawake wa kinyarwanda tutawaoa watazaliana hapa nchini na baadae taifa hili linaweza kubadilika kuwa la wanyarwanda,take it from me,Kagame anaangalia mbali saana kwa manufaa ya watu wake.

Kwa habari za chinichini ni kwamba Kagame anao mpango wa kuitawala East Afrika kwa kutumia mbinu hiyohiyo ya kuzaliana,Ukiangalia Uganda inatawaliwa na Myarwanda Mseveni,Ukiangalia Congo Inatawaliwa na Mnyarwanda Kabila,sasa ajenda yake kubwa ni kuitawala Tanzania.

Tanzania sasa tunapaswa kufungua macho tuwe na maono ya mbali,ikiwezekana tuwe na uwezo wa kwenda kuiba mataifa Jirani kwa manufaa ya Watanzania.

Lakini Pia Tunapaswa kuwa makini sana na huyu Kagame.

Nakupenda Tanzania.
kwa mujibu wako, tayari tutaanza na wanawake wa Kinyarwanda. Suala muhimu lililosalia hapa duniniani ni ubinadamu. "Humanity has no boundaries my dear".
 
Kwa akili gani wa exploit nchi jirani?siasa zilizojificha na ujamaa ndani?watanzania wanatakiwa kujitafakari sana,wivu,uwoga,chuki,fitina,uhasidi yote ni siasa za nyerere,hii nchi hatuta endelea mpaka tutubu na kurudisha mali za watu tulizoiba,na hawa wazee waliofundishwa majina yote mabaya ni kwa tajiri mfano kabaila,bepari,mnyonyaji,mlanguzi n.k waondoke na hizo fikira zao ndiyo nchi itaendelea,lakini Tuliiba mali ya watu na kisha baada ya kusahau kidogo tunazungumzia kutaifisha tena,wawekezaji sio wehu viwanda mtaendelea kununua cherahani mpaka mwisho wa dunia.
 
Back
Top Bottom