britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,177
- 41,623
Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿
Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu
Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa baada ya mwezi Mpaka usumbufu sana
When will we be smart ?
Wanakera sana
Britanicca