Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

"Wapumbavu na malofa" - Mkapa
Unaweweseka nini wewe mwanamke? Umejaa udini tu! JK alikuwa anajaza masheikh kuombewa dua ikulu, tatizo ni nini rais naye kuchagua ibada aitakayo?! Wewe ndo nathubutu kukuita mpumbavu, pumbavu kabisa!
 
Usanii tu. Alikuwa anawaondolea confidence watawala ili achukue attention yao. Inawsemekana huyu jamaa EA ndio solo lake kubwa. Kwa hiyo akishika akikubalika kwa viongozi atapata coverage kubwa zaidi kwa wananchi.
 
..vipi ukijua ilihali Mh. Rais Magufuli ni mfuasi wa "TB Joshua" yule usiyempenda halafu kaja!

Kama Joshua kaalikwa na Magufuli ni bahati mbaya sana. Ni kosa la kwanza kubwa tangu tumteue kuwa rais hata kabla hajaapishwa. Tunampenda Magufuli tutamwombea alitambue na kujutia hilo kosa na atubu kwa Mungu aliye hai.
 
Hivi kuvaa soksi bila viatu ni pekupeku nayo???

Tuko pamoja mkuu, hata mimi nimeona kavaa soksi na kwa uelewa wangu peku na kuvaa soksi havifanani.

attachment.php
 
"Wapumbavu na malofa" - Mkapa

ili kuweka kumbukumbu sawa,kauli hiyo ilitolewa na rais mstaafu mkatoliki alipo kuwa akimnadi mkatoliki mwingine ambaye kwa sasa ndio rais wako/wetu.usiowapenda wanazidi kukutawala.chezeya mfumo kristu weye...teh teh teh
 
Dah!
Ungeuloza kwanza kabla ya kufanya hitimisho kuwa hajavaa viatu, kavaa viatu ila viko kama soksi, ukikaa sana sehemu bila kunyanyuka miguu huuma, kaja na PJ hivyo alivaa hivyo viatu vya kama soksi, waulize wale wenye nazo wanaposafiri safari za masafa marefu, watakuelekeza!
 
Sawa mkuu,kumbe alivaa soksi tupu hakuwa pekupeku?

Ni aina ya viatu vya kusafiria kwa wenye nazo wanapokuwa masafa marefu, hakiwa peku na hizo sio soksi, NIGERIA wakisikia hii kitu watatuona washamba sana, hata wakenya wanaweza wakatishangaa!
 
Ujio wa Prophet T. B. Joshua
pekupeku Tanzania umenistaajabisha Sana. Kutembea pekupeku Kwenye nchi ya ugeni kuna maanisha nini?




Kutoka 3:5

Naye akasema, usikaribie hapa vua viatu vyako miguuni mwako maana mahali hapo unaposimama ni Nchi takatifu.

T.B joshua yupo sahihi kama kaikabyaga ardhi ya Tanzania pekupeku
 
ili kuweka kumbukumbu sawa,kauli hiyo ilitolewa na rais mstaafu mkatoliki alipo kuwa akimnadi mkatoliki mwingine ambaye kwa sasa ndio rais wako/wetu.usiowapenda wanazidi kukutawala.chezeya mfumo kristu weye...teh teh teh

Mlutheri kakosaaa !
 
Back
Top Bottom