SubTopic
Senior Member
- Sep 15, 2021
- 124
- 230
Issue ya virus kwenye windows inaweza sababisha ukapoteza document muhimu Sana hasa unapokuwa umezihifahi kwenye flash disk yako halafu ukaenda kuprint kwenye hizi stationeries ambazo wengi wao wanakuwa hawana strong anti virus kwa ajili ya kuprotect computers zao unajikuta baada ya kuprint unarudi na virus kwenye flash yako.
Nakumbuka niliwahi kupoteza document za maana nilipoenda kwenye stationery moja hivi Yan Kila kitu kikaliwa na virus. Kwanini wasitumie OS Kama Ubuntu au Linux mint ambazo hazishambuliwi na virus?
Nakumbuka niliwahi kupoteza document za maana nilipoenda kwenye stationery moja hivi Yan Kila kitu kikaliwa na virus. Kwanini wasitumie OS Kama Ubuntu au Linux mint ambazo hazishambuliwi na virus?