Kwanini "soko la siasa liko juu?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini "soko la siasa liko juu?"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by G.JUMA, Jan 12, 2012.

 1. G

  G.JUMA Senior Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za wakati huu wapendwa wa JF. Kunasuala linanitatiza kwa kipindi kirefu sasa.
  Katika hali isiyo ya kawaida katika nchi yetu ya TANZANIA Kwa sasa watu wengi wapendelea upande wa siasa kuliko shughuli nyingine kwa mfano
  -nikianza na kiongozi wangu wa kwanza wa nchi yangu mar mwl.J.k.NYERERE alikuwa mwalimu ila akahamia upande wa siasa.
  -ukitazama kwa umakini katika BUNGE letu wapo wabunge wakio acha shughuli zao na kuhamia kwenye siasa.
  Hivyo naomba mchango wa mawazo yenu ili niweze kuongeza ufahamu katika ubongo wangu.
   
Loading...