cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
- Unaposema unapata hedhi kila tarehe 2 hapo kunaukakasi kidogo. Cha msingi elewa mzunguko wako ni wa siku ngapi na sio kujua unapata hedhi kila tarehe ngapi.Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Mpe mwenzio vyakula vya proteins ili azalishe hormones za kutosha,kingine ww mwenyewe unailamizisha hio hali so kiakili inakupunguzia upataji wa mimba,just take it normal.Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Sema usiogope sema 🎵Sasa jamani mwezi mmoja tu unapagawa. Ingekuwa umeanza kujaribu hata miezi sita minimum ndio ujifikirie kuuliza swali
Ikipita miaka miwili unajaribugi tu ndio hapo sasa ungeanzisha uzi