Duuuu hatari sana. Au unatongoza huku unampapasa na kuweka ulimi sikioni nini? Maana sio kwa hali ya kawaidaHalaf kweli, demu wa skuhz mtu ndo mnakutana kwa mara ya kwanza, unamtongoza kabla hata hajakujibu ashaloa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zama zimebadilika wanasema wenyewe
mshipa wa aibu umewakatikia kabisa hawa viumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli zama zimebadilika sio kila homa ni malaria inabidi tufanya na vipimo vingine
Fast forward miaka 50 toka sasa, hawa wa wakati huu wataonekana zilipendwa!Vijana wa sikuhizi hawana adabu, sisi wazee wa 80's tulikua na bahati sana
Nyie wahenga mnaonekana mlikuwa vizuri sana. Mimi kila siku naona thread mtu analalamiaka anakataliwa, mara mimi domo zege, mara madem hawatongozeki. Inaonekana na sisi men tumelose ability ya kutongoza.Zamani ukiwa una mtongoza demu ilikuwa ni vigumu sana kutokanana na aibu na uoga waliokuwa nao.
Ilikuwa shida sana kwa kidume kurusha mistari maana hata facial expresision ya demu ilikuwa ni kikwazo kikubwa sana,
Demu alikuwa hawezi kukuangalia usoni kwa aibu aliyonayo, huku akijitafuna vidole na kugubikwa na ukimya wa hali ya juu.
Wengine walikuwa ukiwapiga mistari anasema anaenda kukusema kwa mama yake maana unamlete upuuzi, wengine wanasema anaogopa hicho kitendo(kugegedwa)
Ndio maana zamani kuoa bikra ilikuwa jambo la kawaida
Lakini siku hizi mtu anakukodolea macho kama muhamiaji haramu anakaguliwa kitambulisho, hahahhahaaaaa
Aaaaaggghhhhrrrr, badilikeni bana waoaji tupate bikra sio kila kutwa kutafuna maganda tu.