Lameck Dunia
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 291
- 45
Mh JPM km kweli wewe ni mtumbua majipu wa ukweli njoo utumbue majibu chuo kikuu cha udom maana siasa nyingi kuliko elimu principle anakuwa km Mungumtu. Nasema hivi kwasababu kuna watoto wamaskini kibao hapa ila wengi wao mikopo yao hadi leo hawajaingiziwa na tunakaribia kumaliza mhula mh karibu udom uje upasue mijipu