Kwanini siasa za Tanzania ni chuki?

Kwanini siasa za Tanzania ni chuki?

ndeambase

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
626
Reaction score
312
Nionavyo Mimi hii ni ubinafsi tu na sio vingine mfano vyama shirikishi tuite hivyo sio upinzani wanapigwa vita utadhani ni kikundi cha uasi kutoka nje ya nchi huwezi amini kama ni watanzania wenzao ni laana kwani utampiga virungu but yote hayo yana mwisho utakufa na hutaenda na chochote. Na katika nchi hii MTU akiteuliwa kushika wadhifa wa uongozi anashukuru mno kumbe alistahili aseme tu nitashirikiana na wananchi kutatua matatizo yao kinyume utasikia Nashukuru sana .
 
Kuna mtu ana roho mbaya sana, chuki za kutisha na vitisho vinavyomfanyan hata subordinates wake wamuogope kuliko wanavyomuogopa Mungu wao. Ni mtu hatari sana huyu kwa mustakabali wa Taifa letu. Watanzania wanakufa na kuokotwa na wengine kupotea Serikali kimyaaa!!!!

Nionavyo Mimi hii ni ubinafsi tu na sio vingine mfano vyama shirikishi tuite hivyo sio upinzani wanapigwa vita utadhani ni kikundi cha uasi kutoka nje ya nchi huwezi amini kama ni watanzania wenzao ni laana kwani utampiga virungu but yote hayo yana mwisho utakufa na hutaenda na chochote. Na katika nchi hii MTU akiteuliwa kushika wadhifa wa uongozi anashukuru mno kumbe alistahili aseme tu nitashirikiana na wananchi kutatua matatizo yao kinyume utasikia Nashukuru sana .
 
Chuki ni dalili ya kwamba nchi inapambana na ufisadi, na inapiga maendleleo kwa kasi.
 
ccm wamefika mwisho hawana sera hawawezi kuleta maendeleo ndo maana saaizi kimekuwa chama cha matusi...
Hata mwnyekiti wao kawaagiza wasishirikiane na wapinzani rejea alichowaambia waliotaka kwenda kumuona LEMA akiwa gerezani...
Rais kaagiza ccm wawashughulikie wapinzani wakiwa bungeni na yy atashivhulika nao waliwa nje....
Rais kavunja katiba aliYoapa kuilinda anavunja sheria za nchi kwa kukataza wapinzani kunihusisha na siasa...
SASA UMEONA CHANZO CHA CHUKI ZA KISIASA??!!
 
Back
Top Bottom