Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,840
- 103,700
Naomba kuuliza wana jamvini, hivi hii tabia ya Geshi retu ra Porisi kupewa viatu, kofia, chupi na filimbi kutoka makampuni binafsi imetoka wapi? na kwa maslahi ya nani na kwanini bajeti ya serikali haikidhi mahitaji yao? Ni nchi gani zilizo kuendelea na ustaarabu zinakubali askari wake kupewa misaaada au tuseme kuhongwa na wanaowalinda? Kodi zetu zimeenda wapi?
Jamani hii nchi inaelekea kubaya ebu fikirieni kama RA na wakina Patel na Somaiya wanatoa misaada kwa geshi kuna usalama kweli? Hii nchi imeuzwa au? Hiyo misaada kwanini wasitoe kwenye mahospitali kwani hospitali zetu zimetengamaa au zinajikidhi? Kwanini wasitoe hiyo misaada hata kwa madaktari au waalimu ambao wanalipwa hela mbuzi? Ina maana serikali yetu imeshindwa hata kuwavisha polisi jamani?
naona utabiri wa baba wa Taifa juu ya kununuliwa hata Jeshi unatimia na bado magereza pia! hatuna chetu katika nchi hii