Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Unataka wafanye kama cpa?
Kwanza nikukosoe kidogo, shule ya sheria haipo chini ya wizara ya elimu ipo chini ya wizara ya katiba na sheria so Ndalichako hahusiki chochote hapo.
Sheria inayoanzisha shule ya sheria inaruhusu kuanzishwa kwa matawi maeneo mengine ya nchi so nadhani ni suala la muda tu kutegemea na mahitaji yatakavyokuwa japo ni kweli sasa niuda muafaka wa kufanya hivyo.
Sio huko tu serikali iliyo seriously pia itupie jicho kwa chuo cha usafirishaji pia yaani NIT found only mabibo dsm tunashindwa wa mikoani kujiendeleza
Mi binafsi nimependa ilipo sasa ajabu utakuta mtu wa sociology analalamika ungejua kile ni chungu kinachopika chakula kikaiva ni kile, kwanza tusilalamike kwa kila jambo serikari imejitahidi kwa kweli imejenga vizuri, mazingira mazuri, walimu usiseme, mitihani yao ndo kabisaa ukitoka pale hata bila muhuri unakuwa umeiva, yaani nashindwa kuelezea umuhimu wa eneo lile, pia mtoa maada unazijua gharama za kusimamia na kujenga mazingira kama yale, ningekuona una akili ungeomba kujengewa hostel lkn sio kukutenganisha. Nani asiependwa kufundishwa na manguli waliobobea, majaji, wataalamu wa kila eneo la sheria wanaiitwa ili mradi tuu tuelewe, mkoani utasaidia ilo fungu wewe, hiyo hela ya kujenga law school si ingesaidia kununua dawa hospitalini, madawati ya watoto, hata trekta kwa wakulimaLaw School haipo chini ya wizara ya elimu ipo chini ya wizara ya katiba na sheria,it is right where it is suppoed to be ikianza kuwekwa mikoani itachakachuliwa na mawakili feki ambao hawajui kitu watakua mtaani. System iliyopo inaumiza wengi lakini there is no way ni bora ukomalie kitu ukikipata ujue thamani yake sio kukipata bure bure tu.
actus reus: criminal act.........in fact school of law ilipokuwa moja pale UD Taaluma ilikuwa respected walipoacha kuimonopolize vikaibuka vyuo vinafundisha hata miaka mitatu na tunaona kawaida, vyuo vingine vinahonga honga tuu vibinti hata actus reus havijui vina GPA kubwa hatari... in fact kama taaluma zenu zimeharibiwa muiache hii law iwe kama ilivyo ibaki law school moja ichambue wanao toka sehemu mbali mbali. Pia kwani huko dar unapenda uende peke yako tuu? yaani wengine wanapokuja unajisikia vibayaaaaaa so uungwana muheshimiwa
Mi binafsi law school kuwa moja imeweza kufanya wanasheria wote kuwa kitu kimoja, ukitaka uwe kile mkoa it means haitawafanya wanasheria kufanana hapo itatengeneza matabaka kama ya vyuo. We mwenyewe umeona watu wanavyodharauriwa kufuatana ma chuo alichotoka. Mi binafsi nimependa kilivyo kimoja ukisema tuwe kama cpa kila fani ina utaratibu wake, kuhusu gharama hata udsm pia muombe ihamie mbeya, lingine law school watu wanapata mkopo kama undergraduate, ukisema gharama popote ni gharama kwa sababu unatoka mazingira ya kwenu lazima gharama iwepo hata mkoani. Ila cha kuomba ni kwamba tujengewe hostel maana vyumba ni gharama hilo ndo la muhimu. Mtu alipie tuu hostel ili kupunguza hizo gharama
You are confuse the two..law was monopilised with the few and now even individuals from poor families possess the bacherol and you are worried that the influx is too high to defeat your interests or to loose the battle in court...hawa hawa vijana waleo wanawendesha mahakamani.in fact school of law ilipokuwa moja pale UD Taaluma ilikuwa respected walipoacha kuimonopolize vikaibuka vyuo vinafundisha hata miaka mitatu na tunaona kawaida, vyuo vingine vinahonga honga tuu vibinti hata actus reus havijui vina GPA kubwa hatari... in fact kama taaluma zenu zimeharibiwa muiache hii law iwe kama ilivyo ibaki law school moja ichambue wanao toka sehemu mbali mbali. Pia kwani huko dar unapenda uende peke yako tuu? yaani wengine wanapokuja unajisikia vibayaaaaaa so uungwana muheshimiwa
Mi napita tu!!! BTW sioni hata umuhimu wa hiyo law school cheki huko zanzibar sakata la uchaguzi mawakili mnaojiita wasomi mko wapi??? Wafungwa wangapi wamefungwa bila hatia mawakili mko wapi??? Watu wangapi wako na matatizo na nyie mpo tuuu hata hamueleweki kazi mnakaa na kujiita learned lawyers sijui brothers uji.nga tu!!