kwasababu ni koloni la Tanganyika
Sasa kama unaweza kumiliki na kufanya biashara na ukawa na uwezo kuliko mwenye master au profesa, kwanini usile tende na kahawa ukazaa watoto mia?elimu sio muhimu kwao......wakila tende na kuzaa watoto mia kwao poa
Tatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya mitihani ya Kitaifa especially kidato cha nne na kidato cha sita.
Hoja yangu ni kwanini wazanzibari na shule za uko ndo huongoza kushika namba za mwisho wakati mwingine unakuta katika shule 10 za mwisho Zanzibar ina shule nne mpaka sita katika orodha hiyo..
Tatizo ni wanafunzi au walimu....??
Naomba kuwasilishaa...
Ni mkakati maalum unaoratibiwa na Serikali ya Muungano ili kuwafanya wazanzibar wawe mabwege na kuzififisha juhudi zao za kudai Uhuru kutoka kwa watanganyika.
I see!!? Michango mingine muwe mnajaribu kukumbuka umoja Wa kitaifa wakuu!!Tatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class
Na kuanzia sas hakuna tena mchujo ukifieli form 2 unarudia darasaNasikia darasa LA 7 hakuna mchujo....mchujo unaanzia form two...
Umeongea the bitter truth,!!! Wengi hawaupendi ukweli huusiyo Zanzibar tu ila shule zote za mikoa ambayo wao madrasa yametiliwa mkazo kuliko elimu dunia.Angalia LINDI, MTWARA halafu njoo PWANI na maeneo ya TANGA.Tupende tusipende kuna shida kubwa na tusipoangalia baadaye wakina PADRE MCHARO watasema mikoa mingine wanapendelewa kupewa kazi wakati elimu Dunia tumeitpia mbali hata hao waarabu watoto wao wanapiga kitabu Ulaya na Marekani mbaya sana
Hewallah, kuna siku mtaelewa tu tatizo nini kama hamjaelewaTatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class
Kumbe ulisikia..basi huyo uliyemsikia akisema kakudanganya..mchujo upo ila upo.hivi watakao pass mthani wanaenda shule za vipawa na ambao hawaja pass wanaenda shule za kawaida..ndo ivo mkuuNasikia darasa LA 7 hakuna mchujo....mchujo unaanzia form two...
Una uhakika ..mkuu...sikia. shule wanafunzi wanaenda asubhi mpaka saa 7 mchana then saa 8 mchana ndo wanaenda madrasa....vikwazo vipi vingi ila sio icho ulichosema wwTatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class