Kwanini shule nyingi za Zanzibar huburuza mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne na sita?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya mitihani ya Kitaifa especially kidato cha nne na kidato cha sita.

Hoja yangu ni kwanini wazanzibari na shule za uko ndo huongoza kushika namba za mwisho wakati mwingine unakuta katika shule 10 za mwisho Zanzibar ina shule nne mpaka sita katika orodha hiyo..

Tatizo ni wanafunzi au walimu....??

Naomba kuwasilishaa...
 
Tatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class
:D :D :D ukiwa na chuki ni mtihani kweli... hebu tupe mfano wapi mzazi anamkomalia mwanawe madrasa badala ya shule? kwani shule hakuna somo la dini? Madrasa wanafunzi wanalipa 2000 kwa mwezi, kwa mwaka elfu 24,000, shuleni kwa mwaka watu wanalipa zaidi milioni kisha waja kusema eti tatizo ni dini? :D :D :D kwa akili kama zako heri tu mwenye zero....
 
siyo Zanzibar tu ila shule zote za mikoa ambayo wao madrasa yametiliwa mkazo kuliko elimu dunia.Angalia LINDI, MTWARA halafu njoo PWANI na maeneo ya TANGA.Tupende tusipende kuna shida kubwa na tusipoangalia baadaye wakina PADRE MCHARO watasema mikoa mingine wanapendelewa kupewa kazi wakati elimu Dunia tumeitpia mbali hata hao waarabu watoto wao wanapiga kitabu Ulaya na Marekani mbaya sana
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya mitihani ya Kitaifa especially kidato cha nne na kidato cha sita.

Hoja yangu ni kwanini wazanzibari na shule za uko ndo huongoza kushika namba za mwisho wakati mwingine unakuta katika shule 10 za mwisho Zanzibar ina shule nne mpaka sita katika orodha hiyo..

Tatizo ni wanafunzi au walimu....??

Naomba kuwasilishaa...
 
Watu mmeendekeza elimu ya dini siku nzima na elimu Dunia mmeipa nafasi kidogo utafaulu kweli na sio huko tu hata LINDI na MTWARA ni wenzenu pia
Ni mkakati maalum unaoratibiwa na Serikali ya Muungano ili kuwafanya wazanzibar wawe mabwege na kuzififisha juhudi zao za kudai Uhuru kutoka kwa watanganyika.
 
Hoja hii inahitaji majibu jamani. Tuache kubisha kila kitu kwa maana haiwezekani shule zilizofanya vibaya NNE kati ya kumi zitoke visiwani tena Unguja
 
siyo Zanzibar tu ila shule zote za mikoa ambayo wao madrasa yametiliwa mkazo kuliko elimu dunia.Angalia LINDI, MTWARA halafu njoo PWANI na maeneo ya TANGA.Tupende tusipende kuna shida kubwa na tusipoangalia baadaye wakina PADRE MCHARO watasema mikoa mingine wanapendelewa kupewa kazi wakati elimu Dunia tumeitpia mbali hata hao waarabu watoto wao wanapiga kitabu Ulaya na Marekani mbaya sana
Umeongea the bitter truth,!!! Wengi hawaupendi ukweli huu
 
Nasikia darasa LA 7 hakuna mchujo....mchujo unaanzia form two...
Kumbe ulisikia..basi huyo uliyemsikia akisema kakudanganya..mchujo upo ila upo.hivi watakao pass mthani wanaenda shule za vipawa na ambao hawaja pass wanaenda shule za kawaida..ndo ivo mkuu
 
Tatizo ni dini.waislam wengi wanakomaa na Quran kuliko masomo ya darasani.mzazi anamkomalia mtoto akomae na madrasa badala ya kukomalia masomo ya class
Una uhakika ..mkuu...sikia. shule wanafunzi wanaenda asubhi mpaka saa 7 mchana then saa 8 mchana ndo wanaenda madrasa....vikwazo vipi vingi ila sio icho ulichosema ww
 
Back
Top Bottom