fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,955
- 22,654
Habari zenu wakubwa shikamooni
Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.
Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.
Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.
#Yesbishooohaswaaa