Kwanini serikali yetu isijaribu kuifanya Mwanza iwe kivutio cha utalii kwa kutengeneza mfereji wa bahari mpaka Mwanza

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,687
22,180
Habari zenu wakubwa shikamooni

Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.

#Yesbishooohaswaaa

download (1).jpg
 
duh mawazo mengine ni extra ordinary.

Tulileta mawazo kama elimu bure yakatuyumbisha, itakuwaje hili?
 
Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.
Kweli JF ni mchanganyiko wa watu wa aina mbalimbali na elimu mbali mbali.

Bahari huwa ndio zinakuwa na kina cha chini katika ardhi (surface of the earth) ndio maana hata tunaoongelea urefu kwenda juu tunatuia reference ya bahari - yaani height juu ya usawa wa bahari. Kuna baadh ya miji iko chini ya usawa wa bahari lakini ni sehemu chache sana - kama maeneo fulani Uholanzi.

Kwa hiyo basi, kupeleka maji ya bahari Mwanza, jambo la kwanza ni kutuambia huo mfereji wako wa kufikirika utapandaje mlima, maana altitude ya Mwanza ni juu ya usawa wa bahari!

Ndio maana kuna mtu amekuuliza umeshaamka?
 
Pia na wewe elimu yako ni ya division 5, samahani lakini. Umeambiwa mfereji halafu unauliza mfereji unapandaje milima? Mfereji si unachimbwa ili kushusha level ili maji yaende. Suala hapo ni kina cha kuchimba kama ni practical au sio.
 
Kwahiyo unaweza kuchimba Mfereji kutoka Bahari ya hindi kwenda Mlima Kilimanjaro ?
 
Pia na wewe elimu yako ni ya division 5, samahani lakini. Umeambiwa mfereji halafu unauliza mfereji unapandaje milima? Mfereji si unachimbwa ili kushusha level ili maji yaende. Suala hapo ni kina cha kuchimba kama ni practical au sio.
Bora umenijibia maana labda alidhani mfreji unpanda juu ya mlim😁😁
 
serengerti, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Saadani tumeziexhaust vya kutosha mpaka zimekuwa sio vivutio!? hii ni multibilioni project ambayo hatuna uhakika kama tutauza, tuziboreshe sana zilizopo hasa kwa huduma, miundombinu na bei, zitatuletea watalii wengi, tukivuna mpunga wa kutosha huko ndio tufikirie na hayo mengine. Hivi kaburi la Mkwawa linatangazwa kwa kiwango chake!!?! Nafikiri watoto wa Wajerumani wangekuwa wanafurika hapo kila mwaka.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom