Kwanini serikali inanunua magari ya V8?

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wakuu naombeni msaada!! Kwanini Serikali inanunua LAND CRUISE VX/GX V8 Badala ya LAND ROVER DEFENDER ? Kwani Land Rover Haidumu? Au Land Rover ni ghari kuliko Land Cruise? Au Land Rover haivumilii miundombinu ya Tanzania? Au Tatizo nn? Nisaidieni jaman
1466686090504.jpg
1466686097775.jpg
 
Ujinga tuu,
Wanunuaji hawaoni zinakula zaidi mafuta
Wanunuaji hawaoni spare ni ghali zaidi
Wanunuzi hawaoni Magari yenyewe kwamba ni ghali zaidi
Wanunuaji wanataka kwenda na Wakati bila kuangalia hali zetu
Wanunuaji zilivyo ngumu
Wanunuaji hawashauriki
Sasa huu tuiteje
Ni ujinga tuu!!!
Aiseee kmbe tuna ma-procurement officers zero
 
Kama hujawahi kupanda cruse v8 bora tu unyamaze!!
Mkuu kama umewahi ama laa siyo mbaya, sasa ni vizuri uka explain hapa kuna utofauti gani mpaka serikali iamue Land cruise na siyo defender!!
 
ni ujinga na ufahari usio na maana labda kwa sababu wanajua baada ya miaka mitano watajiuzia hayo magari ila ukweli ni gharama kubwa sana kuyatunza wacha kuyanunua
 
Mkuu sredi yako ingesomeka 'Kwanini serikali inanunua magari ya V8 halafu inashindwa kununua madawati' ????
Upo sahihi ila watakwambia Tunanunua V8 sababu ya usafiri maana usafiri ni muhimu na kwa ukubwa wa nchi yetu ili uwahi lazima uwe na V8, sasa Defender ina kasoro gani na kwann Land Cruise V8?
 
ni ujinga na ufahari usio na maana labda kwa sababu wanajua baada ya miaka mitano watajiuzia hayo magari ila ukweli ni gharama kubwa sana kuyatunza wacha kuyanunua
Unataka kunithibitishia gharama ya kunua Land cruise ni kubwa kuliko Defender?
 
Back
Top Bottom