Kwanini Serikali inamwogopa Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS?

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Kwa sasa Serikali inatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha Mh Lissu hapati nafasi ya kuwa kiongozi wa chama cha wanasheria nchini.

Naomba kujua kama ipo sababu yeyote ya msingi inayopelekea hali hii katika uchaguzi huu wa wanazuoni wa sheria nchini.
 
Hakuna sababu yoyote ile iliyo ya msingi.

Serikali is just being really stupid.
Sababu kuu ni kuwa TLS ni chombo kinachochambua na kuishauri serikali ktk maswala mengi ya kisheria ikiwwmo kupitia miswada ya serikali inayope dekezwa bungeni kuwa sheria. kutokana na msimamo wa mheshimiwa mtajwa hapo juu na uwezo wake wa kujenga hoja wanaogopa kuwa mambo yenye maslahi binafsi na yasiyo na mantiki yatapata matatizo kisheria. . Watawala katika nchi zetu za kiafrica hawawapendi watu wenye uwezo mkibwa wa kufikiri na kijenga hoja wanawapenda sana mapoyoyo watu wasijitambua na wanaopenda kisema asante Mzee kwa kila kitu.
 
Sasa ni kipi ambacho Lisu atafanya akiwa TLS ambacho hawezi kukifanya sasa?
 
Sababu kuu ni kuwa TLS ni chombo kinachochambua na kuishauri serikali ktk maswala mengi ya kisheria ikiwwmo kupitia miswada ya serikali inayope dekezwa bungeni kuwa sheria. kutokana na msimamo wa mheshimiwa mtajwa hapo juu na uwezo wake wa kujenga hoja wanaogopa kuwa mambo yenye maslahi binafsi na yasiyo na mantiki yatapata matatizo kisheria. . Watawala katika nchi zetu za kiafrica hawawapendi watu wenye uwezo mkibwa wa kufikiri na kijenga hoja wanawapenda sana mapoyoyo watu wasijitambua na wanaopenda kisema asante Mzee kwa kila kitu.
Hebu acha kutupiga fix zako hapa, JF siyo Facebook.

Mwenye jukumu la kuishauri serikali kwenye mambo ya kisheria na mikataba ni AG. Mwananasheria mkuu wa serikali.
 
TLS ni watchdog, hata ukisema wanaweza kushauri unakua haujatoka mbali na ukweli.

Wenyewe na LHRC ilitakiwa wawe bega kwa bega ila mara zote LHRC walionekana wapo makini katika kuangalia ukiukwaji wa sheria kushinda TLS.

So ni kweli kua TLS wanaweza kuishauri na kuikosoa serikali katika maswala ya kisheria na haki za binadamu.
 
Hilo suala la ushauri hata raia binafsi anaweza kuishauri serikali.

Hata chama cha waendesha bodaboda wanaweza kuishauri serikali.

Hivyo bado sioni sababu ya msingi ya serikali kumwogopa Lisu.
 
Magufuli alisema Majaji anawachagua,majina hua yanapendekezwa na TLS-connect dot utapata jibu hapa
 
Atakuwa na nguvu gani za kusababisha mambo yafanyike?

Unataka kunambia rais wa TLS ana nguvu kuliko mbunge wa bunge la JMT?

Really? Is how it is?

Mbunge hana nguvu kwenye issue za TLS.Kumbuka TLS ndiyo yenye uwezo wa kuisemea miswada kama ipo kisheria na inaendana na Katiba ya nchi,kama mbunge anakuwa na limit.

Kuna mahali ameeleze kazi za TLS
 
Hilo suala la ushauri hata raia binafsi anaweza kuishauri serikali.

Hata chama cha waendesha bodaboda wanaweza kuishauri serikali.

Hivyo bado sioni sababu ya msingi ya serikali kumwogopa Lisu.
Raia wa kawaida ni kweli anaweza lakini atatumia platform ipi?
 
Mbunge hana nguvu kwenye issue za TLS.Kumbuka TLS ndiyo yenye uwezo wa kuisemea miswada kama ipo kisheria na inaendana na Katiba ya nchi,kama mbunge anakuwa na limit.

Kuna mahali ameeleze kazi za TLS

Hahaaaa wow.

Kwa hiyo hakuna mwingine yeyote mwenye uwezo wa kuisemea miswada kama ipo kisheria?

Imeandikwa wapi kuwa TLS pekee ndiyo yenye uwezo huo?

Na umesema mbunge ana limits. Limits gani hizo na zimeorodheshwa wapi?

Halafu umesema mbunge hana nguvu kwenye ishu za TLS...je, TLS ina nguvu kwenye ishu za mbunge?

Na hivi unajua unachokiongelea hapa au unahisi hisi tu?
 
Hilo suala la ushauri hata raia binafsi anaweza kuishauri serikali.

Hata chama cha waendesha bodaboda wanaweza kuishauri serikali.

Hivyo bado sioni sababu ya msingi ya serikali kumwogopa Lisu.
Serikali hawamuogopi Lisu wanaiogopa TLS ambayo itakua ina meno, itakayokua inaangalia kila kauli, maamuzi na matendo kama hayajatoka nje ya katiba.

Makonda aliwahi kusema askari waue majambazi, Pinda aliwahi kusema wabishi wapigwe tu.

Uliisikia TLS ikiongea kitu? Lakini LHRC waliongea.

Sasa ile ndiyo TLS iliyokua inapendwa na Mwakyembe na wenzake.
 
Sababu kuu ni kuwa TLS ni chombo kinachochambua na kuishauri serikali ktk maswala mengi ya kisheria ikiwwmo kupitia miswada ya serikali inayope dekezwa bungeni kuwa sheria. kutokana na msimamo wa mheshimiwa mtajwa hapo juu na uwezo wake wa kujenga hoja wanaogopa kuwa mambo yenye maslahi binafsi na yasiyo na mantiki yatapata matatizo kisheria. . Watawala katika nchi zetu za kiafrica hawawapendi watu wenye uwezo mkibwa wa kufikiri na kijenga hoja wanawapenda sana mapoyoyo watu wasijitambua na wanaopenda kisema asante Mzee kwa kila kitu.

You have said it all very well yaani ni hivyoooo!!!
 
Back
Top Bottom