Kwanini serikali inamhofia ''Nyoka wa makengeza''

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
3,041
2,422
Chenji ya escrow yupo, Tibaijuka kawajibishwa, Chenji ya Rada yupo akasema vijisenti. Mikataba mingi ya ovyo, I PTL mfano mmoja. Leo ni mwenyekigoda wa chombo cha kutunga sheria, wabunge kwa wengi wao wakamhofia. Naomba kujua nguvu hiyo anatoa wapi? Nyuma yake kuna nini? Maana naona Mbele ya serikali ye ni kama chatu, Mbwa anafyata mkia. Team LUMUMBA BOOK 7PROJECT MJE NA HOJA SIO JAZBA. Cc:Jingalao, Simiyu Yetu, Ritz, Lizaboni, Shindu Namwaka.,Lotima.
 
Hebu tuone hiyo mahakama yao ya mafisadi itafanya nini kama sio mazingira.
Naona wanatuchezea segere na hiyo mahakama yao ni Sawa na kukalia tawi ambalo unalika.
Kitu ambacho hakiwezekani.
 
Na hapa sasa tutagundua kama mzee Magu hakuwahi kupokea fedha haramu kutoka kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom