Kwanini Serikali haimdhibiti Nabii Titto?

Kwanini Serikali haimdhibiti Nabii Titto?

chugastan

Senior Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
166
Reaction score
468
Inashangaza sana serikali ,viongozi wa dini na sisi watu wa kawaida kuendelea kuvumilia mambo ya huyu anayejiita Nabiu Titto.

Nashangaa media kupost mambo ya huyu jamaa ,hata kama serikali haina dini si mambo ya kuvumilia ayafanyayo huyu mtu,bila kujali itikadi za kidini sasa huyu bwana ana tatizo la kiakili lakini kwa nini asipelekwe sehemu husika kwa ajili ya tiba?

Au kwa nini vyombo husika vusipige marufuku huyu jamaa,kama tunaheshimu tamaduni, imani na nidhamu huyu mtu kwa nini aachwe? Shame kwa taifa lililostaarabika
 
Kuna taarifaa gan tenaa kuhusu nabii shoga titoo.

Weka picha

Video tuone anasemajee km ana hoja asikilizwew
 
Nakumbuka pigo zake akiwa amevaa masendeu na joho huku ametundika jumlisha shingoni, mdomoni akiwa amepaka lipstick 💄
 
Inashangaza sana serikali ,viongozi wa dini na sisi watu wa kawaida kuendelea kuvumilia mambo ya huyu anayejiita nabiu tito,nashangaa media kupost mambo ya huyu jamaa ,hata kama serikali haina dini si mambo ya kuvumilia ayafanyayo huyu mtu,bila kujali itikadi za kidini sasa huyu bwana ana tatizo la kiakili lakini kwa nini asipelekwe sehemu husika kwa ajili ya tiba?au kwa nini vyombo husika vusipige marufuku huyu jamaa,kama tunaheshimu tamaduni,imani ,na nidhamu huyu mtu kwa nini aachwe? Shame kqa taifa lililostaarabika
Sio kila mtu anamjua huyo unaemzungumzia. Ungeeleza hayo mambo ya ajabu anayoyafanya ili sisi tujue.
 
We mbona umeruhusiwa kuabudu dini yako? Muache na yeye ana uhuru wa kuabudu
 
Alipelekwa mirembe akathibitika ana ugonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom