Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Nitafute nikupe darasa...usiishi kwa kukariri.
Mimi siishi kwa kukariri Kama wewe ulivyokariri Quran kwamba ndo sayansi. Mimi naishi kwa kujifunza vitu mbalimbali hata vile ambavyo siviamini na ukitaka nikuambie hata wanasayansi wa kale wa China au Korea nitakwambia. Ninachoona unapenda kusikia kile unachoamini kuwa ni kweli hata Kama si kweli. Ngoja basi nikuridhishe ni kwamba namba 1,2,3,4,5,6,7,8,9 zinaitwa Arabic number system zililetwa ulaya karne 11nadhani hapo utakuwa umefurahi. Wenzako wazungu kila siku wanagundua vitu na kufanya tafiti wewe bado unaishi kwenye ndoto za medieval times. Amka ndugu yangu acha dini iplay part yake na sayansi pia iplay part yake.
 
Sitaki uniamini, nataka ujue.

The key is logical consistency.
My logical consistency is derived from religion..Islam to b specific..which u dont believe...so if I tell u about the existance of Allah 1000 times still u wont accept..

Why ?....bcoz u chose not to accept.
 
Sema "mimi intelsat siamini uwepo wa Mungu"...siyo kweli kwamba scientists hawaamini,baadhi yao just like any other communities...kuna scenario nyingi tu ambazo hata science haijaweza kuzipa full explanation,ikiwepo uwepo wa Mungu, therefore it's too much of a generalisation kuchagua aspect ya Mungu tu ku-justify kuwepo au kutokuwepo kwake.
 
You talk of facts like force of gravity,gravitational forces,magnetic fields,elements,etc...All of which can be calculated scientifically and arthmetically...utaishia kuvicalculate tu na science yako ndo itaishia hapo...science will never explain vimetoka wapi hivyo vitu,to mention a few
 
Nimekuelewa sana Mr.
 
hivi wale astronomer wenzako waliotoka mashariki ya mbali kwenda kumtambua Yesu wao nao ni wanasayansi?
 
U
unazungumzia scientist wa kukopy na kupaste au wavumbuzi?
Bwana ndio wacha MUNGU wazuri hao materialist Kama kingunge ndio hawaamini uwepo wa MUNGU
 
My logical consistency is derived from religion..Islam to b specific..which u dont believe...so if I tell u about the existance of Allah 1000 times still u wont accept..

Why ?....bcoz u chose not to accept.
Islam is not logically consistent. Because the Quran, which Islam is based on, is not logically consistent.

The Quran says Allah will seal some people's hearts, eyes and ears so that they will not be able to know him however hard they try.

Then Allah will punish them for not knowing him.

This is supposed to be the all knowing, all loving and all powerful godhead.

How can you reconcile that as being logically consistent?
 
Kabla ya Generalization yako hio jiulize:
Uliwah sikia mambo ya uchaw?
Uliamin/ Unaamini upo?
Umewahi kusikia au kuona mambo yaliyofanywa kichaw?
Mimi naamini upo ila hauchunguzk kwangu mimi ni Supernatural power.
Kuna vitu vipo beyond human thinking ability .
Umecritisize tu Bible, Huwez jua may be Bible ina shortcomings zake ila Super natural power IPO Na Mungu yupo Ila Bible itakua imeandka either right or wrong about him.
Swali lingne What was source of the Universe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…