Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu
Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni
Mkuu Unajua misingi ya science? kuna vitu vingi viko theorised havikubaliki mpaka viwe proved mfano Gravitational waves alizo predict Albert Einstein miaka mia nyumaHahahaa wewe mwenyewe ni sehemu ya tatizo...kichwa cha habari kinajieleza.
Tatizo lenu mnataka Mungu mumpime kwenye maabara zenu. Bahati mbaya wewe huna imani so hata ueleweshwe vp huwezi kukubali.
I can prove science inside Quran..kwanini hujiulizi why Armstrong convertrd to Islam ?Mkuu Unajua misingi ya science? kuna vitu vingi viko theorised havikubaliki mpaka viwe proved mfano Gravitational waves alizo predict Albert Einstein miaka mia nyuma
Mkuu narudi wacha nichaji haka kakimeo kanguNakubaliana na wewe ingawa mimi si mwana sayansi. Nimejiuliza dhana hii ya Mungu ilianzaje? Nahisi mtu anapofikia mahali hawezi solve tatizo anatafuta pa kukimbilia au mtu wa kumlaumu. Pakukimbilia ni kwenye giza ambapo mtu hamuoni na kuomba kwamba toka huko uje unione. Pa kulaumu ni pale mtu atasingizia paka wa jirani, upepo mbaya, jirani, bibi, mama mkwe, wifi au watu waliokufa zamani kwamba ndo wanaleta yote hayo kwa kutumia wajanja kama wahubiri wa kwenye miti (Embandwa) au akina Gwajima, Lwakatare, sheikh Mponda na wengine tu ili mradi wakulainishe ukubali.
Kila siku narudi na swali langu ambalo hakuna analijibu tunapojadili mambo ya imani. Who created the dinosaurs ? sababu kwenye vitabu vyote hawa viumbe hawatajwi wakati walikuwepo kabla yetu.
Prove it.I can prove science inside Quran..kwanini hujiulizi why Armstrong convertrd to Islam ?
Ok..nitafuteProve it.
Na utakuwa bwegghe wa mabwegghe kama unafikiri an american scientist of that time and that magnitude could/ can convert to islam.
Sawa shetanimwanaume usiwe mwongo usikurupuke, neil armstrong never converted to islam