Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,241
- 44,315
Ni kweli Samsung haja fanya vizuri toka s8, ila s21 imevunja record nyingi za mauzo na ndio Sababu ya Samsung kupost Mapato na Faida kubwa.Fuatilia record za mauzo ya simu za Samsung Kwa miaka mitatu minne iliyopita. Angalia ni wapi wanauza zaidi . Pia nenda most sold flagship Samsung humkuti au ni kwa tabu sana . Ndo maana nikasema soko lao kubwa limebaki kwenye simu za kawaida .
Sijaongelea mambo ya Faida maana kama ni Faida Apple hana mpinzani Kwa hiyo tusiguse huko .
Ni 399, ina flagship processor tu vilivyobakia ni low end ama midrange, kama display, camera, batteries etc.sijataja junkies hapa.
nimeuliza sababu ya se 2 kuuzwa $699,wakati kuna flagship ya $1066.
Ni kweli Samsung haja fanya vizuri toka s8, ila s21 imevunja record nyingi za mauzo na ndio Sababu ya Samsung kupost Mapato na Faida kubwa.
Pia Bei za Midrange za Samsung kama A50, A70 na A80 series ni premium hazina tofauti na IPhone 11, iPhone Se etc ambazo ndio zinaongoza kwa mauzo. Hivyo ni strategy yao pia. Ukiangalia simu kama A52 wameipa vitu vingi ambayo ni exclusive kwa flagship kama Optical image Stabilization, Water resistant, 4 years updates etc.
Umeona leak ya Soc ya samsung, almost mara 2 ya Nguvu ya A14, itakuwa na Radeon graphics za Amd.Sasa ulibisha nini mkuu ? Samsung wana realise sehem kuliko na soko lao , premium devices huko si kwao tena Kwa hiyo kuwekeza kwenye simu zenye mediatek ndo mpango na huko wanajua wanapambana na Mchina kwa sababu ya brand yao ile technical wise A series ni moja ya simu inferior tena sana, they look good on paper ila ukiitumia ukalinganisha ndo utajua. Pia its much better waendee kupiga tender za Apple maana zinawalipa sana.
Hili suala nilishawahi kuwaambia pia upande wa tablets ila kama kawaida yenu mkaleta kelele za unazi, sasa mnajionea kinachotokea
Wakati Apple anaenda na M1 chip wao ndo kwanza wanakimbizana na mediatek (pata big picture hapa) Yan wanajua wanachokifanya na wanajua wapi patawabakiza sokoni Kwa sasa
unazungumziaje redmi note 10 5G, naona ina dimensity 700, na nilihofia sana maana leo AE inauzwa 391Dimensity ni jina tu kama unavyo sema Galaxy, camon, redmi etc. Ni series mpya ya soc za mediatek ambazo nyingi zina 5G na processor zenye nguvu.
Zipo Dimensity 700 series, 800, 1000, 1200 etc.
Si mbaya mkuu kama kweli Una mahitaji ya hio 5g. 391 ni Aed? Ama sijaelewaunazungumziaje redmi note 10 5G, naona ina dimensity 700, na nilihofia sana maana leo AE inauzwa 391
Umeona leak ya Soc ya samsung, almost mara 2 ya Nguvu ya A14, itakuwa na Radeon graphics za Amd.
Samsung Exynos With AMD RDNA SoC Smashes A14 Bionic in Leaked GPU Benchmark
Will Samsung be the future mobile gaming king?www.tomshardware.com
M1 tablet sema tu ukweli kwenye iPad kitu gani kinahitaji M1? Angalau zingekuwa zinarun Mac os, Tab S7 plus ni Nzuri sana na mambo mengi zinafanya vizuri kuliko iPad. Na kilichookoa iPad ni hii Corona ila mauzo tayari yalikua yanapungua kwa kasi.
Kuhusu premium kama Samsung anaondoka hio s21 a nanunua nani sasa? Sehemu zote US, UK, kwao Korea etc kuna report za kuvunja record ya mauzo na hata hii Q1 samsung by far ameuza simu nyingi bado unaamini samsung anaondoka premium market?
Si ndio maana nikasema ni leak? Of course inaweza isiwe sahihi.A14 tayari ipo na inafanya kazi we unaleta story za ku leak , hauko serious . Hii hapa ni sehem ya hiyo link uliyoleta wao wenyewe hawana uhakika na wanachoandika. Soon M1 inaenda kukaa kwenye simu maana sasa ipo kwenye iPad .
View attachment 1769322
inauzwa tshs 391,000 AliExpress, 5G huku bado sana kwa sasa, mbaya zaidi redmi note 10 ina bei zaidi ya hiiSi mbaya mkuu kama kweli Una mahitaji ya hio 5g. 391 ni Aed? Ama sijaelewa
391,000 bei nzuri sana mkuu, mpinzani wake wa karibu ni Nord N10 ambaye bei yake ni 450k mpaka 500k.inauzwa tshs 391,000 AliExpress, 5G huku bado sana kwa sasa, mbaya zaidi redmi note 10 ina bei zaidi ya hii
Mkuu kuna hii simu Nokia G 20 ina chipset hiyo hapo chini bei TZS 480 kwa hiyo bei ni nzuri? maana nataka simu ambayo inakamata network vizuri sana maana huku ninanpoishi network mtihani kwelikweli yaan natumia tecno cammon but sometime network sizipati kabisaa. Kifupi nataka smart phone ambayo inakamata network vizuri kwa bajeti ya TZS 300,000-500,000Mkuu Jibu rahisi ni kwamba samsung hatengenezi low end mwenyewe, Anaetengeneza simu za Xiaomi na Samsung ni kampuni moja huko China inaitwa Wing tech, zinatengenezwa Kisha zinapigwa tu label hii Samsung hii Xiaomi.
Hivyo ni vyema kuangalia kwa umakini specs kabla hujanunua.
Kuhusu mediatek zipo nzuri, kuna Helio G series na dimensity series wana soc za maana humo, ila vipo vimeo pia P series kama hio A12 inatumia soc za Jamii ya kina Tecno.
| Chipset | MediaTek MT6765G Helio G35 (12 nm) |
Hio Chipset ni kimeo mkuu hasa kwa hio budget.Mkuu kuna hii simu Nokia G 20 ina chipset hiyo hapo chini bei TZS 480 kwa hiyo bei ni nzuri? maana nataka simu ambayo inakamata network vizuri sana maana huku ninanpoishi network mtihani kwelikweli yaan natumia tecno cammon but sometime network sizipati kabisaa. Kifupi nataka smart phone ambayo inakamata network vizuri kwa bajeti ya TZS 300,000-500,000
Chipset MediaTek MT6765G Helio G35 (12 nm)
Vilevile kuna hii Nokia C30 ina chipset ya inauzwa TZSMkuu kuna hii simu Nokia G 20 ina chipset hiyo hapo chini bei TZS 480 kwa hiyo bei ni nzuri? maana nataka simu ambayo inakamata network vizuri sana maana huku ninanpoishi network mtihani kwelikweli yaan natumia tecno cammon but sometime network sizipati kabisaa. Kifupi nataka smart phone ambayo inakamata network vizuri kwa bajeti ya TZS 300,000-500,000
Chipset MediaTek MT6765G Helio G35 (12 nm)
| Chipset | Unisoc SC9863A (28nm) |
Thanks mkuu kuna simu hiziiHio Chipset ni kimeo mkuu hasa kwa hio budget.
Umetest mitandao yote network ni mbovu? Hasa voda na Halotel? Tena voda weka Roaming on.
Kuhusu simu data zipo chache sana hasa kwa Lowend kwenye reception, ila in General simu ya platic, yenye soc ya Snapdragon na Antena za kutosha itakua na reception nzuri.
Ila unaweza weka app ukaangalia signal strength mwenyewe, ya kwako, ndugu jamaa na marafiki unaweza pata idea simu zinazokuzunguka ipi ina Signal nzuri.
Kati ya Hizo mkuu ni Redmi note 11 ama Nokia 3.4, sema hio 3.4 inauzwa laki 3 Tigo.Vilevile kuna hii Nokia C30 ina chipset ya inauzwa TZS
Chipset Unisoc SC9863A (28nm)
Thanks mkuu kuna simu hizii
1.nokia 30 ina Unisoc SC9863A (28nm) ni simu ya mwaka 2021 bei TZS 480,000
2.Xiomi red note 11 ina Qualcomm SM6225 Snapdragon 680 4G (6 nm) bei TZS 460,000 simu ya mwaka huu
3. nokia 5.4 ina Qualcomm SM6115 Snapdragon 662 (11 nm) TZS 460,000 ni simu ya 2020
4. nokia 3.4 ina Qualcomm SM4250 Snapdragon 460 (11 nm) TZS 375,000 simu ya 2020
Je katika hizi 4 mkuu zipi zinafaa interms of kupata simu yenye kukamata network vizuri binafsi napenda sana nokia. Hapa nilipo angalau tigo inashika but zaman wakati hii tecno cmmon ni mpya halotel (ambayo ndiyo line yangu inayojulikana na wengi ilikuwa inakamata vizuri lakini kadiri muda unavyokwenda ndivyo network strength inazidi kupungua na sasa muda mwingi inakuwa inapotea kabisaaaaa.
Ok shukran sana mkuuKati ya Hizo mkuu ni Redmi note 11 ama Nokia 3.4, sema hio 3.4 inauzwa laki 3 Tigo.
Mimi pia Napenda Nokia mkuu ila Nokia za sasa Hazitengenezwi Na Nokia wenyewe wameuza Tu Jina, hivyo usiwe na Expectation kubwa.
Huna marafiki mkuu ucheki Halotel kwao ipoje? Maana inaweza kuwa ni tatizo la mtandao
Eneo pekee Samsung amekuwa akifanya vizuri ni kwenye vioo vya simu. Lakini kwenye maeneno mengi IPhone inafanya vizuri zaidi. IOS ni the best in terms of performance na optimization of resources. Kwa mfano battery ya iphone 13 Pro max ni 4000 mhA ila inakaa na charge muda mrefu kuliko S22 ultra yenye battery ya 5000 mhA.Fuatilia record za mauzo ya simu za Samsung Kwa miaka mitatu minne iliyopita. Angalia ni wapi wanauza zaidi . Pia nenda most sold flagship Samsung humkuti au ni kwa tabu sana . Ndo maana nikasema soko lao kubwa limebaki kwenye simu za kawaida .
Sijaongelea mambo ya Faida maana kama ni Faida Apple hana mpinzani Kwa hiyo tusiguse huko .
Budget phone nyingi ni mbovu. A 12- A33 bado zinapata shida kushindana na simu za xiaomiSimu gani ya Apple ni inferior ? Apple hawatengenezi junk phones hata yawe matoleo 100 .