Kwanini sabuni za Zoazoa zinawasha ukeni?

Kwanini sabuni za Zoazoa zinawasha ukeni?

Ye Soya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
237
Reaction score
249
Kuna rafiki yangu alitumia hizi sabuni za Zoazoa lakini uke unamuwasha. Je, kuna kemikali ambayo haiko sawa kwenye hizo sabuni?
 
Kuna rafiki yangu alitumia hizi sabuni za Zoazoa lakini uke unawasha. Sijui kuna kemikali ambayo haiko sawa kwenye hizo sabuni?
Uke hautakiwi kuoshwa kwa sabuni wala kuingiza vidole ndani utakuwa unaondoa au kuua wale bacteria wanaolinda uke (normal flora) hivyo kusababisha kupata magojwa kama fungus, bacteria infection n.k
Sio salama kutumia sabuni ukeni kabisa.
 
Kwani ukisema ni wewe ndo ulinawa na hiyo Sabuni itakuzuru nn?
Ila wataalam wa afya wanasema kuingiza povu la sabuni ukeni haifai unajisababishia magonjwa haswa fangasi na K itakuwa inanuka, usiwe mvivu wa kuingiza maji

Kuna rafiki yangu alitumia hizi sabuni za Zoazoa lakini uke unamuwasha. Je, kuna kemikali ambayo haiko sawa kwenye hizo sabuni?
 
Mje wewe na rafiki yako niwaoshe vizuri inawezekana kwenye kusugua kuna sehemu hamkupatia vizuri.
 
Back
Top Bottom