Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......
Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?
Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?
Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?
Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..
Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Exactly my pointHata angetaka kuongea jambo kuhusu DP WORLD haikuwa lazima aongee yeye mwenyewe.
Mbona ana uwezo mkubwa wa kuongea bila yeye mwenyewe kuongea???
Je, ni kweli hajui jina lake linatafsiriwa vipi na watanzania walio wengi?
Au ndio umefika muda ambao malaika wabaya wameamua kumharibia zaidi?
Mungu atupe mwisho mwema
Alikuwa anaabudu pale Kwenye Huduma ya Kwa Yesu Hakuna Lisilowezekana Mbezi beach Daladala unashukia kituo cha Jogoo 😂😂😂Rostam sio muislam tena ....kivipi jamani?
Shujaa Magufuli: Aziz gombea Ubunge Morogoro mjini 😂😂Hata angetaka kuongea jambo kuhusu DP WORLD haikuwa lazima aongee yeye mwenyewe.
Mbona ana uwezo mkubwa wa kuongea bila yeye mwenyewe kuongea???
Je, ni kweli hajui jina lake linatafsiriwa vipi na watanzania walio wengi?
Au ndio umefika muda ambao malaika wabaya wameamua kumharibia zaidi?
Mungu atupe mwisho mwema
Umewahi kuwaona Rostam Aziz na Yusuf Manji Msikitini?Unaposema DPW ni ya wamarekani tuwekee hapa ushahidi, usiseme tu DPW ni ya wamarekani ilimradi uwatenganishe hao waarabu na uharamia waliotufanyia kwa kutumia upumbavu wa kiongozi wetu.
Huyo Rostam nae, naona umejaribu kumtenganisha na DPW na Uislam ili kuchezea akili za wajinga tu, kama Rostam sio muislam tuambie ni wa dini gani nyingine?
Huyo huyo Rostam, siku zote amekuwa na akili ndogo ndio maana unauliza kwa nini kila siku anajikuta kwenye matatizo, ni kwasababu ya akili yake ndogo, akidhani anamjibu Dr. Slaa, ambapo kimsingi hakujibu chochote zaidi ya kelele tu, akajikuta anaenda kutengeneza tatizo na mahakama mpaka mwishowe akaishia kuomba msamaha.
Mimi sio muislamu. Wewe umewahi kumuona Manji kanisa gani?Umewahi kuwaona Rostam Aziz na Yusuf Manji Msikitini?
Ukiwa umesoma Saikolojia vyema ukaijumlisha na ile ya Kuzaliwa ukitulia na Kuiangalia Kiumakini Sura ya Rostam utagundua kuwa ana Makandokando mengi, si Mwaminifu na ni Mtu HATARI sana kwa Tanzania ya Jana, Leo na hasa Ijayo kama hatodhibitiwa na wale Wanaomuogopa na Kumlea kama Mtoto wa Dawa kwa Waganga wa Kienyeji / wa Maombi kwa akina Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Mwacha Kimara Temboni.Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......
Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?
Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?
Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?
Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..
Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Arusha kwa Nabii Mkuu GeodevieMimi sio muislamu. Wewe umewahi kumuona Manji kanisa gani?
Na wa huku nao hujiita waislam Ila wakifika Kwa waarabu wanadekishwa vyoo😄😄
Ni vema umetufahamisha Rostam siyo muislamu
Pia usisahau Uislamu siyo Majina bali Imani
Na ukumbuke Waislamu wako Afghanistan, Iran, Palestine na Somalia
Ubarikiwe Sana!
Ile mikataba aliyosaini Rais Samia Marekani wakati wa royal tour Rostam Aziz akiwa katikati ya Rais Samia na wamarekani hukuelewa kitakachojili?Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......
Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?
Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?
Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?
Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..
Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Ikiwa Dp world ni Marekani,Why huyu Rostam hajifunzi?

Udini unao wewe Kwa nini waislam wengi mnakosa emotional intelligence kiasi hicho uelewa wote wa elimu Dunia mnakuwa machoko kwenye mambo msingi ya critical and analytical thinking ambayo mtoto wa 7 yrs anawazidi that's bullshit, unaongelea dini kwenye mkataba wa kishenzi na kipumbavu pale dini Iko kifungu Cha ngapi?Why huyu Rostam hajifunzi?