Kwanini Rostam Aziz amekuwa huru sana tokea yeye alipokutana Mheshimu Rais!?

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.
 
amejiunga na "team mafisadi" wenziwe (waliokwapua ile 2.4tr yetu) - ndiyo maana yuko happy!
 
Rostam ana nguvu ya ushawishi wa kibiashara kwa makampuni mbalimbali yalio nje ya nchi ambayo yangetaka kufanya biashara au yanafanya biashara Tanzania.Kwa lugha nyepesi akisema hapana kuwekeza na kweli hawatawekeza.
 
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.
Hata Mama Karume aliwahi kusema huu ufadhiri usiwe wa kisiasa naona RA ameingia Yanga Kisiasa mbona miaka yote hakujitokeza kama sasa?
 
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.
Alikata pesa ndefu na amewekwa kwenye madeni lazima alipe kila mwezi. Hivi pesa wanazogawa Magufuli na Bashite jiulize zinatoka wapi?? Kwani haziko kwenye bajeti ya serikali na mishahara yao hawawezi kutumia hivyo. Hizo ndio pesa za kina Rostam. Na Rostam kwa kuhonga hajambo, tangu akiwa na kampuni yake changa ya Caspian alikuwa ni mkwepa kodi na alikuwa anadaiwa kodi kibao. Lkn alikuja kufanya yake kwenye serikali na kuwa mwenye pesa kuliko hata serikali. Hizo pesa alizonazo ni za watanzania alizopata kwa njia isiyo halali. HUYO NDIE ROSTAM
 
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.
Inasadikiwa alipatana na jiwe baada ya kumuakikishia jiwe kuwa atamnyamazisha mange kimambi na kweli akafanya hivyo mange akashikishwa minoti ya maana asimseme jiwe tena Kwa kumchafua ugomvi ukaisha
 
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.

Si raia wa Tanzania kama wewe! Kama ni mhalifu, na una ushahidi, mpelekeni mahakamani
 
RM kwa maoni yangu naona kwa sasa yupo huru mno na anafuraha sana ya moyo hasa tokea akutane na Mheshimiwa Rais.

RM huyo kwa sasa anatumia muda mwingi kuwepo Nchini kuliko wakati wowote ule tokea alipokwaruzana na kina Nape na wenziye wakati ule.

Kwa nini wakati huu?

Kuna kila dalili RM anaandaliwa awe mlipa Kodi mkubwa wa Nchi yetu.Dhanio langu pia kuwa RM alijishusha kwa JPM na aliahidiwa uungwaji mkono wa Serikali endapo atakuwa muwazi na mlipa Kodi sahihi.

Natarajia uhuru zaidi wa RM wa biashara zake hapa Nchini.
Kila mtu ana bei yake.
 
Back
Top Bottom