Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?

Ha haa mambo ya kitaifa kuwa mgeni rasmi kwenye graduation ya form four na habari hiyo inaoneshwa dakika tano katika taarifa ya habari na raisi anazindua barabara ya kilometa 100 anaoneshwa dakika moja na nusu?
Atajiweka akiwa anakanda unga wa chapati?Mengi ana jitokeza kwa mambo ya kitaifa,ni kiongozi katika sekta mbalimbali.
 
Anzisha Tv yako ili na wewe ukae mda mrefu ukiongea ha ha ha.....
 
ITV ni mouth piece ya Mengi. Yeye ni public figure lazima awe na jukwaa la kusemea. ITV na magazeti yake ndio jukwaa lake kama ilivyo TBC na Daily news na watawala wa nchi hii. Mwambie baba yako afungue kituo cha TV nae apate mahali pa kusemea vinginevyo usi tune ITV. nyambxxvcrd wewe
 
Ha haa mambo ya kitaifa kuwa mgeni rasmi kwenye graduation ya form four na habari hiyo inaoneshwa dakika tano katika taarifa ya habari na raisi anazindua barabara ya kilometa 100 anaoneshwa dakika moja na nusu?
Ina maana elimu sio jambo nyeti la kitaifa?au wewe shida yako mi JK aonekane?mbona anaonekana sana TBC asubuhi mpaka jioni
 
Kila media ina utaratibu wake,ukiona huupendi basi tune to TBC Taifa fullstop!!!!!
 
Wewe mende mbona Ruge alitumia masaa kibao kumsema Lady JD kwenye kipindi cha Clouds FM mbona haukuja kuanzisha sredi?
 
Last edited by a moderator:
si ni mali yake...sasa wahoji matumizi ya mali yake??! au kuna mtu aweza hoji juu ya matumizi ya simu yako??! au kitu chako chochote??!
😕:A S 13:
 
Unalalamikia ITV, imekuwa TBC??????
 
Mbona hulalamikii TBC kwa kuweka vipindi vya hovyo mfano CHeleko, etc. kwa kodi yako au nawe ni kati ya wale wasiolipa kodi?
 
Mpuuzi sana wewe. Unamjua mmiliki wa Star Tv wewe?
 
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?

...si TV yake,nawe anzisha yako ujinafasi, mtu kahanagaikaa weee kujenga mafanikio leo mumpangie namna ya kuyafaidi duu...!
 
Ha haa mambo ya kitaifa kuwa mgeni rasmi kwenye graduation ya form four na habari hiyo inaoneshwa dakika tano katika taarifa ya habari na raisi anazindua barabara ya kilometa 100 anaoneshwa dakika moja na nusu?

Si ipo unayolipia kodi? Unataka apewe dakika tano kurusha taarabu na maneno ya pwani kwa wale anao tofautinana nao? Unataka apewe dakika 180 kuongea na mikeka ya Dar ati anahotubia Taifa? Atumie ile ya bure ninayolipia kodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…