Kwanini Redio hazikusema Habari za Mawaziri waliozomewa,lakini Magazeti yamesema vizuri.

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,028
54,320
Mara nyingi kumekuwa na matukio tofauti tofauti ya baadhi ya VIONGOZI aidha kukataliwa na WANANCHI pale wanaposema uongo piakuna mambo yanaweza kufanywa na Taasisi,Shirika,Asasi zisizo za Kiserikali kwa kusema uongo.
Ja ajabu na kusikitisha vituo vingi vya Redio vinashindwa kutangaza ktk TAARIFA za HABARI kuwa Mawaziri kama CHIZA,HAWA n.k wamezomewa huko MTWARA mpaka wangoje vipindi vya MAGAZETINI ndiyo waseme.
Je ni uoga au kujikomba ktk suala la kusema ukweli,najua hapa kuna watu wa kila aina hebu semeni tujue wenye vyombo wanawakataza
:A S-rose::A S-rose:?
 
Back
Top Bottom