Kwanini rais wetu hatembelewi?

Chakunyuma na Wana JF,
Mada yako ni nzuri, watu wa Ikulu ndio wangetueleza na kutujibu aka kukujibu vizuri, ila comments za walitangulia zinachekesha sana. Kuna mambo mengi yanayosababisha kutotembelewa au kutembelewa.
Kawaida unapomwalika Mgeni au Rafiki wewe ndio unakuwa mwenyeji wake, sitaki kuingia ndani unakuwa mwenyeji kivipi, ukarimu na uungwana wa kumhudumia mgeni ili ajisikie nyumbani.
Nawakilisha






 
Huwa anawambia tulia nakuja huko, vipi hajaenda Ethiopia walio karibu na Ikulu mtujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…