siyo kweli, kama hamutaki kukosolewa basi msimame kwenye hakiJohn Magufuli is bulldozing the opposition and wrecking the economy
βAfrican socialismβ did not work in Tanzania last time, eitherwww.economist.com
View attachment 3192819
Tanzaniaβs leader, the βBulldozerβ, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statisticswww.economist.com
Shida ya watanzania ni kudandia mambo, hivi unadhani kweli Kabendera alipata shida kwa sababu ya nakala za ujinga alioongea kwenye interview yake ya kuuza kitabu.
Au unaamini kweli hadithi zake za watu kutekwa sijui kuwa na ushahidi.
Kabendera alikuwa anaichafua nchi na kuwaambia wawekezaji wa kimataifa Tanzania sio sehemu salama ya kuwekeza akishirikiana na mafisadi kuichafua nchi.
Unadhani huyo Kabendera ni mtu wa maana kweli au alionewa na machozi yake ya mamba.
If anything Magufuli alimuonea huruma na kumtoa tu, ugomvi wake ulikuwa na usalama wa taifa.
Akitokea mwandishi mwingine zama hizi za Samia na kufanya aliyokuwa anafanya Kabendera atapewa treatment zilezile.
Ni kwamba mafisadi yanatudharau tu, maana yanaamua wao namna ya ku shape narrative kwa mambo yanayofanana (huyu mpe, huyu muache).
Zama za Magufuli walikuwa wanatengeneza mazingira ya kumu-attack, wanaenda chukua maiti mochwari zisizo na ndugu na kutupa baharini.
Ili umpinge Magufuli nafuu uwe sasa hivi unanufaika vinginevyo, ni mpumbavu wa hali ya juu kusikiliza hizi hadithi za majizi.
Kabisa unaamini Kabendera ujinga wake alikuwa anaandikia audience ya Tanzania, yeye alikuwa anaichafua serikali nje ya nchi.
Unadhani alichoongea kwenye interview yake ni genuine, zaidi ya machozi ya mamba tu; msaliti mkubwa yule.
Alistahili kila kilichompata kwa matendo yake. Hao watu sio wazuri wana kundi la kuwalipa tu la ku-shape narrative kwenye social media.
mimi nahisi wewe uelewa wako ndo uko chiniUna uelewa wa chini ya wastani. Sina muda wa kukupa maelezo how things arebeing done
Magufuli kuwa dikteta sio la kusingisiwa angalia tu, utawala wake nchi alivyoifosi? ilikua fujo tupu kila sehemu.Hakuna kitabu pale lile gazeti la udaku ni kwa ajiri ya wajinga wajinga tu.
Kamwe huwezi msema jpm vibaya tukakuelewa hata kama alikufumua marinda bado hatutakuelewa. Sisi wazarendo tulikuwa tunaona kwa macho yetu vitendo tu tena matendo mema tukuka kabisa
Sawa magufuli alibeba mengi katka utawala wake, iliyonafaida na yasionafaida.Gaidi aliyejitoa mhanga ili wewe uliyeshiba maharagwe uone faida za kodi yako unayolipa seeikalini.
Hakuwa mwandishi bali ni Dr. Ulimboka.SWALI: kuna mwandishi mmoja aling'olewa meno na kutolewa kucha, akaenda Afrika kusini kutibiwa, anaitwa nani?? Siyo huyu Kabendera?
Kalamu ni risasi tosha KABISA kabisa !Kumbe wwe bado mtoto, hujuwi nguvu ya kalamu!? Ukitaka kujua nguvu ya kalamu ya mwandishi nenda kawaulize Rwanda kuhusu yale mauwaji ya kwao! The Rwanda genocide!!
Kapoteza muda mwingiii sana hajui ukiwa raia no.1 hayo ni kawaidΓ sanaaaKibendera kaandika kitabu Kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kufedha, pamoja na kujipa relief kutokana na uchungu alionao baada ya kuenyeshwa sana na serikali ya Magufuli uliompelekea kupoteza mzazi....!!
Na kafanya hivyo sababu Kuna wenzake wengi sana ambao bado wana uchungu kama yeye na wanahitaji relief ambapo wataipata kwa kumpa support ya kununua na kukisoma hicho kitabu.
Ila Kwa bahati mbaya kwao hakuna chochote kitakachabadili image na mitazamo waliyonayo watanzania kuhusu Magufuli.
Eti ameona aandike Kwa lugha ya kigeni kabisa hahahhaha..!!
Wewe ni fala mnao amini kila kituMaboya kama wewe ni sababu hii nchi haitakuja kuendelea
Magufuli alikuwa kichaa. Muone hapa kwenye majabali amejilaza kama kenge anaota jua.Kibendera kaandika kitabu Kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kufedha, pamoja na kujipa relief kutokana na uchungu alionao baada ya kuenyeshwa sana na serikali ya Magufuli uliompelekea kupoteza mzazi....!!
Na kafanya hivyo sababu Kuna wenzake wengi sana ambao bado wana uchungu kama yeye na wanahitaji relief ambapo wataipata kwa kumpa support ya kununua na kukisoma hicho kitabu.
Ila Kwa bahati mbaya kwao hakuna chochote kitakachabadili image na mitazamo waliyonayo watanzania kuhusu Magufuli.
Eti ameona aandike Kwa lugha ya kigeni kabisa hahahhaha..!!
Hiyo ni longolongo tu. Leta majina ya hao alikuwa anawagawia hela hapaKabendera alikuwa anatumika na watu wa nje kumhujumu Magufuli alitaka kupindua utawala wa Magu.
Mwandishi wa habari unaandika artcles 4 kwa mwezi kwenye akaunt yako unalipwa million 300. Unachomoa pesa unazitawanya kwa wakosoaji wa serikali mitandaoni. Hiyo investigative journalism kilikuwa kichaka cha money laundering alikuwa anatumika kwa kazi maalum kazi chafu.
Ni kweli ππ½Kuna t
Maandiko kama haya ni nadra sana kuyaona jf.
Majinga yalivamia hizi forums kitambo hadi watu wenye akili yimamu wakasusa kujihusisha humu...
Kidogo apigwe risasi akatupwe mto tufiji kama alivyomfanyia ben saanaeNdugu wanajamvi,
Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "In the Name of the President: The Memoirs of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa Magufuli na madai ya udikteta. Hii inatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu sababu halisi za kufungwa kwake.
Ni wazi kuwa Kabendera alikuwa mwandishi wa habari shupavu, lakini je, hatua za kumkamata na kumfungia zilikuwa za haki? Au zilikuwa juhudi za kumnyamazisha kwa sababu ya uandishi wake?
Kwa vile tunafahamu kwamba baadhi ya wanachama wetu hapa ni wafanyakazi wa idara za usalama, jeshi, na ulinzi, wafanyakazi wa ikulu na watumishi wa inner circle tunapenda kupata mitazamo yenu juu ya suala hili:
1. Je, ni nini hasa kilichosababisha Kabendera kuonekana tishio kwa utawala wa Magufuli?
2. Kuna ukweli wowote katika madai kuwa utawala huo ulitumia nguvu za dola kuzima uhuru wa vyombo vya habari?
3. Kwa maoni yenu, je, kufungwa kwa Kabendera kulikuwa na athari gani kwa tasnia ya uandishi wa habari na uhuru wa kujieleza nchini Tanzania?
4. Kwa nini utawala wa Magufuli ulikuwa na wasiwasi mkubwa juu ya waandishi wa habari huru kama Kabendera?
Tunaomba mjadala huu uwe wa kistaarabu, wa kina, na wa kuheshimu maoni tofauti. Ikiwezekana, tusaidiane kupata ukweli ili kuangazia mustakabali wa uhuru wa vyombo vya habari nchini mwetu. Jambo zuri ni kwmaba mzee hayupo tena kwa sababu kipindi cha utawala wake hadi hili jukwaa la siasa lilikuwa compromised. Niliwahi kupost threads zenye hoja na zilifutwa na maadmin bila sababu hali hii ikasababisha nilichukie sana hili jukwaa la siasa.
Karibuni kwa mjadala.
View attachment 3191541
Unapenda udaku kama punga.Hiyo ni longolongo tu. Leta majina ya hao alikuwa anawagawia hela hapa
Like father, like son. Maji hufuata mkondo. Usaliti upo kwenye DNA yao, Ukoo, familia yote hawaoni shida kuiuza Tanzania nchi iliyowapokea na kuwasaidia kama wakimbizi.Makosa ya Kabendera ni Kama ya baba yake Kabendera Shinan alipobanwa na SERIKALI ya Mkapa akaamua kujiua Ziwa Victoria Mwaka 2000,
Alionekana kutumiwa na majirani na bbc kufifisha Juhudi za Mkapa !
Mzee Kabendera ni Mnyarwanda aliyeishi katoMa bukoba , hata msiba wake Rwanda Ulitikisa aliacha baadhi ya ndugu zake Erik huko Rwanda
View attachment 3193545View attachment 3193546View attachment 3193547View attachment 3193548
Kwamba Magufuli alitaka kumtombaa mama yako Samia, na wewe unakubaliana na hili??Magufuli alikuwa kichaa. Muone hapa kwenye majabali amejilaza kama kenge anaota jua.
View attachment 3193836
Mpaka Sasa hivi ni dhairi kabisa huyo Kibendera sijui Kabendera ni aina ya waafrika ambao Wana mchango mkubwa sana kwenye machafuko yanayoendelea kwenye bara hili la Africa.Like father, like son. Maji hufuata mkondo. Usaliti upo kwenye DNA yao, Ukoo, familia yote hawaoni shida kuiuza Tanzania nchi iliyowapokea na kuwasaidia kama wakimbizi.
Nchi ilikuwa inapambana na magaidi. Wananchi wa kawaida, Familia, polisi, viongozi wanauliwa ovyo kila siku, watu wanataka kusimamisha himaya yao yenye misimamo mikali ndani ya nchi kama walivyofanikiwa Msumbiji walipokimbilia. Shughuli nyingi zilianza kusimamia. Anakuja mtu anaanza kuwatetea akisahau kutetea waathirika, wahanga wa ugaidi.
Rais anaamua kuweka mambo sawa, Kabendera anaanza kutetea haki za magaidi, nchi iwekewe vikwazo, wawekaji wasije, uchunguzi wa haki za magaidi wakati huo huo hana habari na haki za wananchi wa kawaida wanaouwawa kila siku.
Wengi wanaomuona shujaa na kumsifia hapa sasa hivi wangekuwa wakimbizi, wakishindwa kuishi kwa amani, kufanya shughuli zao za kiuchumi, kuandika hapa JF kama JPM asingewanyoosha wahusika wote na huyu shujaa wao bila kupepesa macho.
Ben saanane kafa mwaka 2016/2017 Magufuli kafa 2021... Miaka 4/5 baadae, alikuwa wapi Ile miaka 4 kutoa hicho kitabu ambapo ndio ingeleta mantiki zaidi na watu wangemuamini???Angekuwa hai bado kitabu kingetoka tu kwa maana kwa namna alivyoua na kuteka raia hakuna namna angekwepa hii aibu.
Unafikiri kuchokonoa Ile mkataba ya kinyonyaji ya madini ni jambo rahisi ehee?? Unafikiri kila kiongozi WA kiafrika ana ujasiri wa kuwatikisa imperialists kama alivyokuwa anafanya Magu??πππ Magu alijitoa muhanga???
Na wewe ukamuamini kua kajitoa muhanga..
Ccm ni walewale tu wafata ilani yao ambayo hawaifati.