Ndio maana nasema huyo mwehu Kabendera katunga hicho kitabu hili kujipa relief sababu ya trauma aliyonayo, ndio maana kakiweka kwenye lugha ambayo wengi watakaokisoma ni diaspora na watanzania wachache wenye traumatic experience inayofanana na yake.HALAFU WATANZANIA WALA HAWAKO BIZE NA KUSOMA MAJALIDA NA HIYO LUGHA ALIYO TUMIA NDIYO KABISAAA HAKUNA ATAKEYE SOMA NA HAKINA IMPACT YOYOTE KWA TANZANIA NI KAMA KIGAZETI CHA UDAKU TU
Huwa Kuna mentality fulani ya kuiga na ya kinafiki ipo Kwa watanzania wengi hasa hawa middle class ambao wanajiona Wana akili na vi-exposure uchwara walivyonavyo.Imagine alikuwa anaandika nakala za design hizo-hizo za uongo mtupu; kuichafua nchi.
Halafu kuna watu wanakwambia ndio demokrasia, hiyo.
I have always said Magufuli alikuwa soft kwa mtazamo wangu.
Watanzania anahitajika mtu wa kuingia madarakani na kuwanyoosha akili zao, thinking yetu and definition yetu ya ipo chini sana.
Watanzania wanadhani it’s ok to violate people au sijui nafasi za siasa ni birth right yake, kuiba serikalini ni haki yake and so forth of their nonsense.
Kabendera ni flag bearer tu wa permeating culture ya Tanzania hasa kwa wafanyakazi wa umma, serikalini (mawaziri) na ndani ya CCM.
Leo anaandika kitabu ili apate huruma ya kijamii kana kwamba watu hawamjui. Hawa mawakala wa mabeberu wamechangia sana katika kuzikwamisha serikali nyingi za Afrika.Kabendera alikuwa anatumika na watu wa nje kumhujumu Magufuli alitaka kupindua utawala wa Magu.
Mwandishi wa habari unaandika artcles 4 kwa mwezi kwenye akaunt yako unalipwa million 300. Unachomoa pesa unazitawanya kwa wakosoaji wa serikali mitandaoni. Hiyo investigative journalism kilikuwa kichaka cha money laundering alikuwa anatumika kwa kazi maalum kazi chafu.
Anaowatetea walimwelewa sana, wajaribu kumtukana insta walipojaa waone moto wao.Inasikitisha sana mkuu, ukiwa mzalendo kwa hii nchi unakua vitani na unaowatetea, ndio maana wengine wameona wale maisha na watoto wao kimya kimya
Mpuuzi wewe.Tahira jiwe ashaoza.
Alikufa kifo kibaya sana. Limdomo lilikuwa wazi kama kenge. Kanijuza jamaa aliyeosha maiti yake
Mzee Mayala a.k.a njaa akamuumbua ?Hàya majibu ànayo Pascal Mayalla , ilisemekana ndo alimchoma kabendera kwa Magufuli. Hii ni inasemekana mimi sina uhakika.
Huyu jamaa alikuwa ànatumia feki I'd huko "gazetini" kuandika màmbo ya "kuçhafua nchi"! Mayalla akamweka wazi kwa home boy wake.
Mkuu kawaandikia wazungu sisi Wananchi hakituusuKibendera kaandika kitabu Kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kufedha, pamoja na kujipa relief kutokana na uchungu alionao baada ya kuenyeshwa sana na serikali ya Magufuli uliompelekea kupoteza mzazi....!!
Na kafanya hivyo sababu Kuna wenzake wengi sana ambao bado wana uchungu kama yeye na wanahitaji relief ambapo wataipata kwa kumpa support ya kununua na kukisoma hicho kitabu.
Ila Kwa bahati mbaya kwao hakuna chochote kitakachabadili image na mitazamo waliyonayo watanzania kuhusu Magufuli.
Eti ameona aandike Kwa lugha ya kigeni kabisa hahahhaha..!!
Kwani wafungwa na watuhumiwa walioko mahabusu kama yeye hawana wazazi ina maana Mama yake ni muhimu kuliko watuhumiwa wote waliioko magerezani?I wish ungekuwa wewe ukawekwa ndani mpaka Mama yako akaiomba Serikali ikuachie kwa sababu wewe ndiye Masada wake pekee lakini ikaziba masikio nadhani hapo ndipo ingependeza sana. Hata hayo mawazo ya kubwabwaja yangekutoka!!
Msharaha ni hapa hapa tu!! Unavuna ulichopanda ndicho utavuna!! Hivi wewe unafikiri shida yangu ndiyo yako? Walijua wamemkomoa lakini hawakujua kuwa Mungu Fundi!!Kwani wafungwa na watuhumiwa walioko mahabusu kama yeye hawana wazazi ina maana Mama yake ni muhimu kuliko watuhumiwa wote waliioko magerezani?
Wazee wa mihemko, hivi wanazi wa Magu mna matatizo gani?Nani kalishwa matango pori zaidi ya wajinga na wapumbavu kama wewe ambao mnaamini maandishi ya huyo Kabendera yasiokuwa na substantial evidence ya aina yoyote?
Kwa akili yako mbovu ilivyo leo hii huyo Kabendera hata akisema Magufuli alimbaka mama yako mzazi bila uthibitisho wowote utamuamini kutoka na chuki ulizonazo Kwa Magufuli plus Imani kubwa uliyonayo Kwa Kabendera sio?
Mjinga kabisa wewe,
Kuna watu wachache wa ajabu sana Tanzania waliathirika na aliyoyafanya Magufuli kama haya chini. Walikuwa wanufaika wa mfumo uliokuwa umejaa rushwa, wizi, ufisadi, uonevu, kujuana, upendeleo, kutojalina kila aina ya uchafu.Watu kama huyo Kabendera kuachwa waendelee kuwa hai ilikuwa ni mistake, hapo ndio Huwa namkubali PK Huwa anajua sana kudeal na watu WA aina hii ambao ni threat Kwa usalama WA taifa.... Ana bahati sana JPM hakuwa na uhodari WA kimafia kama Kagame, huyu asingekuwa hai kutuandikia huu ushuzi ambao hauna manufaa yoyote zaidi ya kupoza hasira zake na za wengine ambao Wana makovu kama yeye.
Eti investigative journalist halafu unaishia kuichunguza serikali Kwa manufaa ya watu WA nje, si ni uhaini huo? Kwanini asingechunguza kuhusu makinikia na uporaji WA rasilimali zingine lukuki unaofanywa nchini kwetu ambao wananchi wengi hatuujui? Yaani unaichunguza serikali kisha unashirikiana na magaidi yanayotishia kuangusha utawala, halafu ukishughulikiwa, umeonewa... Mbaya Zaid Kuna wapumbavu wanamuunga mkono, inatia hasira sana
Aisee ni hivi kumbe?Makosa ya Kabendera ni Kama ya baba yake Kabendera Shinan alipobanwa na SERIKALI ya Mkapa akaamua kujiua Ziwa Victoria Mwaka 2000,
Alionekana kutumiwa na majirani na bbc kufifisha Juhudi za Mkapa !
Mzee Kabendera ni Mnyarwanda aliyeishi katoMa bukoba , hata msiba wake Rwanda Ulitikisa aliacha baadhi ya ndugu zake Erik huko Rwanda
View attachment 3193545View attachment 3193546View attachment 3193547View attachment 3193548
Afanye mambo yote lakini kudhilumu haki za watu,Kuteka watu,kuua watu na wengine kuokotwa coco-Beach hiyo si sawa kabisa!!Kuna watu wachache wa ajabu sana Tanzania waliathirika na aliyoyafanya Magufuli kama haya chini. Walikuwa wanufaika wa mfumo uliokuwa umejaa rushwa, wizi, ufisadi, uonevu, kujuana, upendeleo, kutojalina kila aina ya uchafu.
JPM kakomesha ugaidi Watanzania wote waishi kwa amani. Webgine waweze kumtukana hapa JF, kufanya kazi zao, kuendelea na biashara zao, mambo yao. Huo ndio uhuru wenyewe, ndio huko kusimamia haki za binadamu wote.
Kawapa elimu bure.
Kawapa umeme, maji ya kuaminika sasa hivi hivi vinashindikana tena kwa bei nafuu.
Kafukuza vyeti feki mtu alikuwa anaweza kujiita mhasibu,engineer, muuguzi kwa kutumia vyeti feki. Madhara yake ni makubwa sana.
Wafanyakazi hewa hawapo tena serikali imeokoa mabilioni ya pesa iliyokuwa inaenda kwa vigogo kwenda kwenye mambo ya msingi. Hao vigogo hawawezi kumpenda.
Kapambana tupate sheria mpya kulinda rasilimali zetu, zitunufaishe, kama sheria za madini vizazi na vizazi vijavyo.
Alipunguza rushwa na kuongeza nidhamu serikalini na alipunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Alihakikisha mfumuko wa bei unathibitiwa. Vitu havipandi ovyo.
Amejenga masoko, shule, hospitali, barabara, SGR, Bwawa la umeme, madaraja, interchange,vituo vya usafiri hivi vyote kusaidia kuliinua taifa hili maskini.
Vyote hivyo alifanya bila kuongeza kodi, tozo.
Muhimu zaidi amejaribu kubadilisha mentality la hili taifa, kuwaambia Watanzania nyie sio maskini, mna rasilimali za kutosha, muhimu kuzitumia vizuri akaonyesha mfano kwa vitendo.
Ndio alikuwa mtetezi mkubwa wa haki za kibinadamu na uhuru kwa Watanzania wote. Wapate haki zao za msingi, haki za kuishi, haki ya elimu, afya, kazi, biashara, amani, nk.
Ungekuwa wewe ungedili vipi na magaidi Mkuranga, Kibiti Rufiji, Lindi, Mtwara, Ruvuma? baadaye kidogo wangefika Dar kama wangechekewa.Afanye mambo yote lakini kudhilumu haki za watu,Kuteka watu,kuua watu na wengine kuokotwa coco-Beach hiyo si sawa kabisa!!
Angalieni msimchonganishe wakili Pascal Mayalla na familia ya Kabendera!Hàya majibu ànayo Pascal Mayalla , ilisemekana ndo alimchoma kabendera kwa Magufuli. Hii ni inasemekana mimi sina uhakika.
Huyu jamaa alikuwa ànatumia feki I'd huko "gazetini" kuandika màmbo ya "kuçhafua nchi"! Mayalla akamweka wazi kwa home boy wake.
Hebu fafanua zaidi mkuu!Kabendera alikuwa anatumika na watu wa nje kumhujumu Magufuli alitaka kupindua utawala wa Magu.
Mwandishi wa habari unaandika artcles 4 kwa mwezi kwenye akaunt yako unalipwa million 300. Unachomoa pesa unazitawanya kwa wakosoaji wa serikali mitandaoni. Hiyo investigative journalism kilikuwa kichaka cha money laundering alikuwa anatumika kwa kazi maalum kazi chafu.
Hao waliokuwa wanatekwa na kupotezwa na wengine kuokotwa kwenye fukwe za coco Beach walikuwa Magaidi?Ungekuwa wewe ungedili vipi na magaidi Mkuranga, Kibiti Rufiji, Lindi, Mtwara, Ruvuma? baadaye kidogo wangefika Dar kama wangechekewa.
Hawa walikuwa wanaua watu wengi tu bila kujali haki zao za kuishi, uhuru wao kufanya kazi, biashara, mamno yao.
Unaona JWTZ, JPM, usalama, polisi walikosea, Tupe mkakati wako?
Watanzania gani boss, hao ambaoa magufuli hakuwa ma imani nao hadi ikabidi anajisi uchaguzi wa 2020?Kibendera kaandika kitabu Kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kufedha, pamoja na kujipa relief kutokana na uchungu alionao baada ya kuenyeshwa sana na serikali ya Magufuli uliompelekea kupoteza mzazi....!!
Na kafanya hivyo sababu Kuna wenzake wengi sana ambao bado wana uchungu kama yeye na wanahitaji relief ambapo wataipata kwa kumpa support ya kununua na kukisoma hicho kitabu.
Ila Kwa bahati mbaya kwao hakuna chochote kitakachabadili image na mitazamo waliyonayo watanzania kuhusu Magufuli.
Eti ameona aandike Kwa lugha ya kigeni kabisa hahahhaha..!!